Prof. Lipumba Atangaza Operesheni Mchakamchaka Mpaka Ikulu 2015

Ni prof Mzuri wa Uchumi, na anauwezo mkubwa wa kujenga hoja za kichumi tatizo bado watanzania wengi hawajaonyesha sana imani nayeye. Kama ingewezekana wakubaliane na CDM,yeye aje kuwa WAZIRI MKUU NA OFISI YA MIPANGO NA UCHUMI IWE chini yake. Kwaiyo yeye na chama chake waunge mkono CDM.
 
Sura ni zile zile za CCM, kinachobadilika hapo ni mavazi ya chama tu., Utakuta mkutano mwingine ukiitishwa na CCM, watakuja na mavazi tofauti yale ya kijani.... DANGANYA TOTO EEEE.
 
Sura ni zile zile za CCM, kinachobadilika hapo ni mavazi ya chama tu., Utakuta mkutano mwingine ukiitishwa na CCM, watakuja na mavazi tofauti yale ya kijani.... DANGANYA TOTO EEEE.

Mke na mume lazima wapeane sapoti proisra......chezeiya CCM A na CCM B wewe!
 
Last edited by a moderator:
hii nayo haitakufa kama ile nyongine waliyoianzishaga kwa kushirikiaana na nccr mageuzi?walizunguka kigoma kidogo kisha hatukusikia tena ilipoishia.kama wamedhamiria kweli na wamejipanga itadumu.lakini kama hawajadhamiria na wametumwa,itakufa haraka.
 
Back
Top Bottom