Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof Lipumba amteua KATANI AHMED KATANI kuwa mwenyekiti jumuiya ya vijana Taifa.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mkigoma, Jul 15, 2012.

 1. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  aliyekuwa mgombea wa jimbo la tandahimba ambaye alidhulumiwa ushindi wake katani ahmedi katani kijana machachari leo amekabidhiwa majukumu ya kuiongoza jumuiya. uteuzi huo umefanyika baada ya kumalizika baraza kuu la uongozi Taifa.
   
 2. T

  Topical JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,177
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hongera Mheshimwa Katani, ongeza hamasa kwa vijana nchini
   
 3. M

  Makupa JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,713
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kumbe cuf bado ipo
   
 4. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 1,947
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 180
  Hongera katan, kaza uzi ukombozi wa kweli waja!
   
 5. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  RIP CUF....RIP Mkigoma!
   
 6. N

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,543
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Hawakuwa na kiongoz kumbe?
   
 7. D

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,488
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Mtatiro naskia yupo kikaangoni ktk nafasi yake
   
 8. M

  Magesi JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Vp kuhusu sensa amesema watashiriki?
   
 9. A

  Alhabaad Member

  #9
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Km alivyo kikaangoni Zitto au vp?hapo nafkiri ni droo mkuu
   
 10. A

  Alhabaad Member

  #10
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vp mkuu yale maandano ya madaktari yatakuwepo??
   
 11. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 7,100
  Likes Received: 1,374
  Trophy Points: 280
  hongera bwana Mkonge oops sorry bwana Katani
   
 12. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #12
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 60
  Hivi Mtatiro ana cheo gani ndani ya cuf? Isije ikawa ni mwendelezo uleule wa unaniii aaaa ngoja niache nisije nikaandamwa bure hapa.
   
 13. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #13
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133
  Nimecheka sana manake hujampa muda wa kupumua ukamshukia nilikuwa napita tu
   
 14. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #14
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,318
  Likes Received: 417
  Trophy Points: 180
  Vipi Yule mtoto wake anayeitwa ADC aliyejifungua Mume wake CCM anapeleka matunzo?
   
 15. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #15
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 60
  Mmhhh, hawa watoto ambao mimba zinaingilia vilabu vya pombe, sidhani kama anapeleka matunzo.
   
 16. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #16
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,318
  Likes Received: 417
  Trophy Points: 180
  Hizi ndoa za kutafuta mtu wa kukupikia futari huwa zinadumu kwa siku 30 tu naona muda hii zimeshamiri
   
 17. A

  Alhabaad Member

  #17
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi Zitto ktk Chadema anacheo gani mkuu naoba kila kitu ni Mnyika!
   
 18. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #18
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Tafuteni CV ya huyo katani......

  Form four division iv ya 31 Mahuta Day Secondary School
   
 19. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #19
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Zitto. Wa Kigoma

  Kwani Mnyika kwao wapi???????
   
 20. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #20
  Jul 16, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 8,419
  Likes Received: 886
  Trophy Points: 280
  sisi tunaktaa tabia ya kuteuana, nyie mnaendeleza. si ajabu hata kwenye katiba mpya maoni yenu yatafanana na matendo yenu. kwa nini kusiwepo uchaguzi?
   
Loading...