Prof lipumba akubali hamad na wenzake kufukuzwa.........

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
..Asema chama lazima kilinde nidhamu na kama mtu hataki kuwa na nidhamu tupiganie kuwa na mgombea binafsi,

source:channel ten
 
time ni ukuta..cuf imeshakufa watu tunasubiri arobain tumalize shughuli yoote. Prof aamie CDM
 
Walitegema Prof. Akatae kufukuzwa kwa Hamad ili akasonane na mwenye chama ndg Maalim Seif, hakuna kitu kama hicho. Hata Prof. Nae anaburuzwa tu.
 
Walitegema Prof. Akatae kufukuzwa kwa Hamad ili akasonane na mwenye chama ndg Maalim Seif, hakuna kitu kama hicho. Hata Prof. Nae anaburuzwa tu.
What did we expect?
Lipumba ni mnyamwezi wa kubeba mzigo mzito,chairman wa CUF wa convenience.
 
Back
Top Bottom