Prof. Lipumba aiapia CHADEMA kutotawala nchi

Haters mind you,2015 is not far...when our song will change from tyranny to democracy, From mortification to trammel, from old torpid brain to young active, Fromm fallacies to realities, from stone throwing to fresh air. Chadema to you,a redefinition of leadership.

Would love to see how the tears flow after 2015 Election. I've been saying this and wouldn't get tired of saying it, slander and negative propaganda, won't help anybody.
 
Unategemea mchumba wa CCM aseme Chadema watatawala nchi?! Han lolote huyo professa bwabwaja....wacha waendelee kuolewa na CCM
You have nailed it, yeye kuukosa urais safari tano anafikiri hata kwa wengine ni hivyo hivyo.
 
Upo wewe mwenyewe, kwa nini usubiri kudanganya watu wengine. Kama umeliona hilo, basi tupe facts ili nasi tuchanganye na za kwetu. Hayo maneno ulotumia hayajatufikishia ujumbe wowote ule. Hivyo si vema kutuaminisha kijumla jumla.
Usikate tamaa, nchi ni yetu sote ndo tutaibomoa au kuijenga
Sitarajii kukuaminisha kile ninachokiamini mimi, bali nahitaji mimi na wewe tuvitazame hivi vyama kwa undani... tuwatazame kwa makini hao wanaoviongoza.. kisha tuje na majumuisho na maamuzi kwa Tanzania ijayo kama vinatufaa kweli ama havitufai!!

Kila ninapovitazama siuoni mwelekeo wake... vipo kama klabu za taarabu na mchiriku...

kama unavifuatilia... natumai ushasikia singo za kila namna tangu tumeanza siasa za vyama vingi... na mwaka jana na huu wanatubadilishia mitindo na midundo tu!!

Nataraji kabla ya 2015 Albamu yao itakuwa imekamilika.. una hiyari ya kuachana nao kabla ama kuwapigia makelele wabadilike...

Kwa kifupi hivyi vyama vyenu hakuna hata kimoja kinachotaka kutupeleka kule tunakotaka..
ukitazama vema viongozi wa vyama hivo wengi wao pia hawajui tunakotaka kwenda!!!
Labda bado wanatathmini njia!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Munamtukana bure Prof. wa watu, alichosema mbona kweli tuu! CHRISTIAN DEMONSTRATIONS MOVEMENT (CDM) haiwezi kushinda kwa sababu inategemea kura za wanakwaya tuu! Kamwe huwezi shinda urais ikiwa unabagua zaidi ya nusu ya wapiga kura! Mbona hesabu rahisi hiyo!
 
Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amesema anayeamini kuwa Chadema, kitatawala nchi hii atambue ni mgonjwa na anatakiwa kwenda kwa Mchungaji Mwasapile Ambilikile, maarufu kama Babu kupata kikombe cha dawa.
Akihutubia mkutano wa hadhara kwenye kiwanja cha soko la Mitumba, wilayani Muheza hivi karibuni, Profesa Lipumba alisema viongozi wa Chadema ni wafanyabiashara hawawezi kuongoza nchi. Kama kuna mwananchi yoyote Wilaya ya Muheza anaamini Chadema inaweza kuongoza nchi hii, basi huyo akanywe kikombe kwa Babu huko Loliondo, alisema Lipumba. Naibu Katibu Mkuu CUF, Julius Mtatiro, alisema CCM imewafikisha wananchi wanakula mlo mmoja kwa siku, huku watoto wakienda shuleni na njaa. Mtatiro alisema hali inazidi kuwa ngumu, lakini CCM ambayo imesababisha ugumu huo inaona kawaida vyakula kupanda bei.
Source: Mwananchi Machi 26, 2011

Prof Lipumba kwisha habari yake ndio maana amebakia na siasa za maji taka hata wanaomsikiliza nao ni wa aina yake tu mtu makini huwezi kukaa kusikiliza upuuzi huo. Mtatiro naye anapoteza tu muda kwa kuwa kwenye CCM B afadhari aende CCM A yenyewe au aende kwenye chama pekee cha upinzani Tanzania, CHADEMA.
 
Aisee!! Mungu mkubwa, kumbe kama sii chedema kuwepo. Tanzania ingeliondokewa na sifa ya kuwa na chama pinzani cha kuisimamia serikali kuanzia mwaka 2011.
.
 
..nadhani CUF hawana mpango wa kuchukua utawala na kuongoza nchi hii.

..chama cha upinzani kinapaswa kushambulia na kukosoa utendaji wa serikali iliyoko madarakani.

..Prof.Lipumba anapokishambulia Chadema, tena ktk maeneo kama Tanga ambako hakina umaarufu, sijui anategemea nini haswa.

..nadhani Prof.Lipumba anatafute washauri wapya wa kisiasa wamsaidie kuijenga CUF. Inasikitisha kwamba toka uchaguzi mkuu uishe Prof hajafanya juhudi zozote zinazoeleweka za kukiuza chama chake kwa wananchi.

..kama all that Lipumba and CUF want, is to replace Chadema and become the main, but weak[wabunge 40] opposition party in the country, basi wanaweza kuendelea na hizi kampeni kwa mtindo huu waliokuja nao.
 
Kwa Kweli Profesa Lipumba kadri siku zinavyosonga mbele ananisikitisha sanaa......Sijui anasumbuliwa na nini??
 
Tuiondoe Li tumwite Prof. Pumba.
Profesa Lipumba ana matatizo makubwa mawili, kwanza akiwa anaongea ukiwa karibu naye shurti ujikinge na mwamvuli kwani kinywa chake kinanyesha mate. Pili ameathirika na utowashi kwani sasa unamfanya awe ******* mpaka kwenye ubongo
 
Hivi wanaJF mke wa Lipumba yupo wapi? aliwai ulizwa hilo akasema mpeni kwanza urais ndio mtamjua First Lady.....................
 
SLAA-CUF inafadhiliwa na ccm kufanya mikutano ya kuishutumu cdm,cuf haiwezi kuwa chama cha upinzani,cuf ni chama popo,cuf haina uwezo wa kuongoza dola,


MBOWE- CUF ni mke wa ccm,cuf siyo chama cha upinzani,cuf ni ccm b, cuf ni wanafiki, cuf hawana mwelekeo,

LIPUMBA-Chadema ni chama cha wafanyabiashara na mafisadi nyangumi,chama cha wapiga disco,chama kisicho na uwezo wa kuwatoa watz kwenye umasikini,anayedhani cdm inaweza kuongoza nchi akanywe dawa ya babu loliondo,anaumwa.

Mtatiro- Tutajibu kila propaganda wanayosema cdm dhidi yetu, chama kinachotafuta dola hakiwezi kudhaminiwa na mafisadi(nyangumi) -sabodo,mengi na wenzie- siku kikipata dola kitawatumikia waliokifadhili,tutajibu hoja kwa kielelezo,propaganda kwa ukweli , mwisho wa siku ukweli utasimama,
MANENO YA VIONGOZI WENU HAYO,KATI YA HAO WOTE NANI MJINGA NO 1,2,3,4,
NANI MJINGA KULIKO WOTE,NANI TAAHIRA, NANI MJANJA?




.

lipumba ni no.1,2,3 na 4. Mtatiro ni mdogo mno kujielewa.
 
Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amesema anayeamini kuwa Chadema, kitatawala nchi hii atambue ni mgonjwa na anatakiwa kwenda kwa Mchungaji Mwasapile Ambilikile, maarufu kama Babu kupata kikombe cha dawa.
Akihutubia mkutano wa hadhara kwenye kiwanja cha soko la Mitumba, wilayani Muheza hivi karibuni, Profesa Lipumba alisema viongozi wa Chadema ni wafanyabiashara hawawezi kuongoza nchi. Kama kuna mwananchi yoyote Wilaya ya Muheza anaamini Chadema inaweza kuongoza nchi hii, basi huyo akanywe kikombe kwa Babu huko Loliondo, alisema Lipumba. Naibu Katibu Mkuu CUF, Julius Mtatiro, alisema CCM imewafikisha wananchi wanakula mlo mmoja kwa siku, huku watoto wakienda shuleni na njaa. Mtatiro alisema hali inazidi kuwa ngumu, lakini CCM ambayo imesababisha ugumu huo inaona kawaida vyakula kupanda bei.
Source: Mwananchi Machi 26, 2011

Kazi ya uganga wa kienyeji ndiyo ikufaayo mr lipumba!
ofisi tayari ipo, endelea na kupiga ramli, kuandika makombe, usiku kuwanga, kuzuru makaburi uchi, kuosha nuksi wanawake dogoli. nk nk
Siasa imekuendea harijojo.
 
Lipumba kaishiwa. Ilichobaki ni kudunduliza umaarufu kwa mgongo wa CDM.

Kwa kuungana na CCM kuunda serikali kule Zenj, hakika CUF wameingia choo cha kike. Hiyo ndoa ya mkeka mtaijutia maisha yenu yote (political life).
 
Hivi Lipumba ni kiongozi wa chama? This guy is a joke and embarrassment for the country and hawa ndio wanaaibisha juimuia za wasomi Tanzania na Africa. Lipumba utazeeka na career yako ya siasa imekufa siku nyingi.

If your CUF you will die as CUF, poor vision and no new ideas, Zaidi ni mtakufa politically na ccm wakiwashika mikono
 
Back
Top Bottom