Prof. Lipumba achana na siasa ulitumikie taifa kwa uzalendo

Feb 18, 2012
23
10
Najitokeza kwa mara ya kwanza kumuomba na kumshauri mwenyekiti CUF Taifa mheshimiwa Profesa Lipumba kuachana na siasa ili kutenga muda wa kutosha na kulitumikia taifa kwa Uzalendo na umahiri mkubwa. Binafsi namheshimu sana na kumkubali msomi huyu. CV ya huyu jamaa imesheheni vilivyo na haitiliwi mashaka na ulimwengu ndiyo maana alikuwa anaongoza jopo la wasomi na wachumi Duniani. Kuachia ngazi kwa prof Lipumba kuna maana kubwa na kutawapa fursa kwa watanzania wote bila kujali itikadi zao za vyama kumpa ushirikiano wa kutosha. Tafadhali mheshimiwa Prof. Lipumba zingatia ushauri wangu kwa ajili ya mstakabali wa taifa letu
 
acha woga sehemu ya kulitumikia taifa ni sehemu ya kisiasa. Kuwapo ktk siasa ndo kunampa nafasi ya kulitumikia taifa je umeambiwa ukiwa ktk siasa huwezi kulitumikia taifa?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom