Prof. Juma Kapuya: Wandishi wa habari hawajui Kuongea English

Supervisor

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
559
207
Akichangia leo Bungeni Mh. Prof Juma Kapuya amesema elimu ya Tanzania kwa sasa ni duni sana, Wandishi wa Habari hawajui kabisa kuongea Ki English, ndo maana wanashindwa kuhoji chochote wakikutana na Mtu ambaye hajui Kiswahili.
-----------------
My take.
Kawachokoza mwenyewe. Ngoja waje wenyewe na Kiswahili chao. Asikimbie tu...
 
Yeye aajkijua hicho kiingereza, ni mchango gani wa maana kaifanyia nchi hii mabili na kupiga hatua mbili mbele then akarudisha tano nyuma!
Labda angelisema kama amewahi kumsikia rais Putin au Ping wa China akikiongea hicho kiingereza.
 
Ukimlaumu na kumshangaa mwandishi kwa kutokujua kiingereza ni sawa na kufanya utani. Profesa amesahau njanga linalolikabili Taifa la mgogoro wa elimu? Ndiyo maana wananchi wanapiga kelele za kuboresha elimu nchini hususani shule zinazomilikiwa na Serikali kwani zinakabiliwa na changamoto ambazo hata Pro anazifahamu
 
Akichangia leo Bungeni Mh. Prof Juma Kapuya amesema elimu ya Tanzania kwa sasa ni duni sana, Wandishi wa Habari hawajui kabisa kuongea Ki English, ndo maana wanashindwa kuhoji chochote wakikutana na Mtu ambaye hajui Kiswahili.
-----------------
My take.
Kawachokoza mwenyewe. Ngoja waje wenyewe na Kiswahili cha. Asikimbie tu...

Ni ukweli ila unao uma sana kuusikia masikioni mwa wana habari, mfano , kumuhoji mgeni juu ya kasha mbali mba;li ambazo mataifa yao yanaibambika afrika, unakuta wengi wana gwaya kutoka na "language barrier". Ila kumbe kapuya muda mwingine naye mtu.
 
Last edited by a moderator:
Akichangia leo Bungeni Mh. Prof Juma Kapuya amesema elimu ya Tanzania kwa sasa ni duni sana, Wandishi wa Habari hawajui kabisa kuongea Ki English, ndo maana wanashindwa kuhoji chochote wakikutana na Mtu ambaye hajui Kiswahili.
-----------------
My take.
Kawachokoza mwenyewe. Ngoja waje wenyewe na Kiswahili cha. Asikimbie tu...

Ni kweli.... Hizi SCANDAL's zote za serikali Waandishi wetu wa habari hawawezi kufanya kama wa KENYA na kuwadadisi Mabalozi wa nje na kuwauliza Maswali...

Wewe angalia Magazeti yetu yooote hayana backing toka kwa any funds or NEWS NGO's kama Waandishi wa KENYA walivyopata wakati wa kudai haki na wakati wa KATIBA YAO

Sisi wote waandishi wetu wanakula ndani ya CCM; ukiikashifu, then umeisha -- na CCM inahakikisha Waandishi wetu hawajui FANI hii ikoje... ni kupiga picha na kupanda ndege ya RAIS

Hawajui kwa Demokrasia ya kweli kama USA; Waandishi wanaopinga na kuunga mkono serikali wanaruhusiwa kupanda hiyo ndege ya serikali yao Rais wao akienda kokote kule DUNIANI...

c.c
Supervisor
 
Kapuya kagusa pabaya,ngoja waje waandishi wafuatilie ile kesi yake ya ubakaji iliishia wapi?
 
...........Kwamba ukitaka kujua kiingereza vema kama yeye fanya haya
Kapuya4.jpg
 
Yeye na kujua kiinglish kwake mbona alikatia Mimba na Ukimwi kabint under age!!

Waandishi wa habari ni waswahili, kiingereza cha nini? Mbona Piers Morgan na ujanja wake wote hajui Kiswahili, mbona Anderson Cooper hajui Kiswahili, Mbona Richard Quest hajui Kiswahili? Huyu mzinifu Kapuya anazeeka vibaya
 
Akichangia leo Bungeni Mh. Prof Juma Kapuya amesema elimu ya Tanzania kwa sasa ni duni sana, Wandishi wa Habari hawajui kabisa kuongea Ki English, ndo maana wanashindwa kuhoji chochote wakikutana na Mtu ambaye hajui Kiswahili.
-----------------
My take.
Kawachokoza mwenyewe. Ngoja waje wenyewe na Kiswahili cha. Asikimbie tu...
teh teh teh..huyu mzee wa dogodogo na simon group hawamuwezi ana uzoefu.
 
Yeye aajkijua hicho kiingereza, ni mchango gani wa maana kaifanyia nchi hii mabili na kupiga hatua mbili mbele then akarudisha tano nyuma!
Labda angelisema kama amewahi kumsikia rais Putin au Ping wa China akikiongea hicho kiingereza.

Usiwalinganishe akina Putin ambao wewe unalazimika kuijua lugha yake ili umfaidi na nyie

Naona limekugusa Sana jitahidini mjue kiingereza kwani mnakihitaji Sana kuliko kinavyowahitaji.
 
Huyu alipata kuwa waziri wa elimu miaka ya 1990s kwenye utawala wa Mkapa je mchango wake katika kuinua elimu kwenye taasisi za umma ulikuwa ni upi kama siyo kujigongagonga, rika tunalodhania kuwa lingepewa elimu bora ndo hilohilo wana dance nalo, ndo utasema wana seriousness kwenye kuleta mabadiliko?
 
Back
Top Bottom