Prof. Ibrahim Lipumba yuko wapi jamani?

jamaa kachemka kupata hata japo jimbo moja kwenye mkoa wake ataweza mambo ya wapemba? lipumba sio msaada ktk chama, hata ile ishu iliyoua ngangali ya kidini alishindwa kujitoa
 
Wajameni kunani CUF mbona Prof. Lipumba yu kimya namna hii kipindi hiki muhimu? au ndo katika ule mgomo baridi nathani mambo yameiva ndani ya CUF mshindo mkuu unakuja! ile dhana ya kwamba CUF ni Maalim na Maalim ni CUF itakizamisha CUF tega sikio!
 
Inawezekana kabisa. Tusubiri.
 
baba yetu mzee ibrahim lipumba yupo wapi mbona simsikiiii kabisa wadu tujulisheni huyu mzee ameenda wapi
ameiacha cuf kwenye migogoroooo
 
Yupo USA anakula bata na kina Obama na kuendeleza siasa za kimagharibi.

Ni bora akae huko huko mana ni mtu gani asiyekubalika kwao, kwao Tabora hakubaliki hata kidogo hata akigombea uenyekiti wa mtaa hapati. Angalia wenzake wote wenyeviti wa vyama wanavyokubarika kwao, Kikwete, Chalinze anakubalika na alishawahi kuwa mbunge, John Cheyo,kwao Bariadi anakubalika na mpaka leo mbunge, Mbowe kwao Hai, anakubalika hadi leo mbunge, Dr slaa kwao Karatu anakubalika na alikuwa Mbunge, Mrema kwao anakubalika Vunjo na leo hii Mbunge. Sasa huyu Lipumba ana matatizo.
 
hata MTATIRO MBONA KIMYA WAPI KINA JUSA

jamaa we haupo tanzania mwezi uliopita na mpaka sasa habari za kina jussa na mtatiro walitawara vyombo vya habari. Star tv, mlimani tv chanel 10 na jana walikuwa itv sasa sijui nikujibu vp hapa
 
Yupo USA anakula bata na kina Obama na kuendeleza siasa za kimagharibi.

Ni bora akae huko huko mana ni mtu gani asiyekubalika kwao, kwao Tabora hakubaliki hata kidogo hata akigombea uenyekiti wa mtaa hapati. Angalia wenzake wote wenyeviti wa vyama wanavyokubarika kwao, Kikwete, Chalinze anakubalika na alishawahi kuwa mbunge, John Cheyo,kwao Bariadi anakubalika na mpaka leo mbunge, Mbowe kwao Hai, anakubalika hadi leo mbunge, Dr slaa kwao Karatu anakubalika na alikuwa Mbunge, Mrema kwao anakubalika Vunjo na leo hii Mbunge. Sasa huyu Lipumba ana matatizo.

Kipimo gani kina kuonesha lipumba akigombea wenyekiti atashindwa, mi mtu watabora leo lipumba aseme ana gombea ubunge utashangaa na hutoamini unachokifikiria.
 
Hivi kaka unategemea lolote jipya kutoka CUF? Wenzio wako kwenye mahaba mazito na CCM wewe unataka kuingilia mambo ya watu. Upinzani wa kweli hautakaa utoke CUF hii ya sasa; labda wajipange upya tena wajipange haswa.

Walivyokuwa wanakaa kwenye vikao vyao vya miafaka kwa kificho wenye akili zao walionya na kupiga kelele, CUF wakaona wanaonewa gere kumbe ndio hivyo chama kilikuwa kinaelekea kaburini kwa faida ya wachache. Inahuzinisha lakini hakuna neno jingine zaidi ya R.I.P. CUF.
Duuh! kwahiyo mkuu ndiyo kusema CUF kwishiney kabisa? Nafikiri wakimsamehe Hamadi Rashidi na wenzie....cuf inaweza fufuka
 
mlisha elezwa kuwa yuko USA tena mliambiwa kuwa ni mmoja wa wataalamu wa uchumi aliyechaguliwa kuliongoza jopo hilo Duniani,sasa nyie mnataka nini tena

kawaachia siasa zenu bado mnamlazimisha,subirini akimaliza kuitumikia dunia atarudi
 
unahamu ya kujiunga na CUF nini ???? Mbowe ameshindwa anaatafuta msaada wa Lipumba?????

ha ha ha ha....! Dat z nonsense men......! Kwani hujisaikii raha bila kumtaja mmeo mbowe? Usichekeshe wa2 ww kuwa basi na machunusi yako hayo. KEEP IT UP MBOWE ND BRAVO CHADEMA.
 
Bado yupo hai na anaendelea na majukumu ya kibunge....ila ki ukweli HR atawasumbueni kweli

Atawasumbuweni nyinyi Watanganyika tu sisi huku hata hatumjadili habari yake imekwisha na sasa tuna deal na mambo mengine ikiwemo kujipanga kwa kutoa maoni katika katiba mpya. Pia Hamad Rashid hajakatazwa kuendelea na shughuli zake za Bunge ila kwa sasa sio mwanachama wa CUF tena, hata ukimuona mtu yuko hivyo jua ana matatizo; mtu akisha kupewa talaka na mume hurejea kwao lakini sisi tunashangaa kwanini amefika hadi mahakamani anang'ang'ania ili arejewe!
 
Mpemba mbishi, NYIe ndo wale mnaoamini eti kwa kuwa Mbili mara Mbili na Mbili jumlisha Mbili zote jibu lake nne, mnalazimisha na nne mara nne na nne jumlisha nne majibu yake lazima yafanane.....imekula kwenu. Acheni kuabudu watu NINYI.
hiyo cuf hamad keshasema kioo kikiingia vumbi hupanguswa ila kikipasuka kutolewa na kuwa replaced.......nami nasema hvii taka usitake CUF ishapasuka hvyo subirini REPLACEMENT YAKE NA ANAYO HAMAD NA TIMU YAKE......
 
Kama Hamad kakutuma umsemee haya, nenda kamwambie haya maneno ni kama amejiambia yeye mwenyewe.
 
Ndugu yangu hassan nakuomba sana usihame hapa JF ipo siku tena haipo mbali utajua kama kweli Wapemba nuksi, na utakuja kuthibitisha mwenyewe ya kwamba kumbe Wapemba (Wazanzibari) wakiamua lao liwe lazima linakua kwa Uwezo wa Mungu. Hamad Rashid ataumbuka vibaya sana! Zanzibar Daimaaa Mbeleeee. Am proud to be Zanzibari
 
Hewalaaa mpemba, kwa kuanzia unakaribishwa jumamosi tarehe 28.Jan.2012 mkutano wa hadhara JIMBONI WAWI, MHE. Hamad Rashid atahutubia kuwajulisha wapiga kura wake yaliyojiri katika baraza kuu CUF la tar. 04.jan.2012.
 
Asalaam alyekum wana JF..!

Leo nimeona nikitazame Chama cha Wananchi (CUF)..,ambacho kilikuwa kama nguzo kuu ya Upinzani nchini na Tishio kwa chama Tawala CCM na kuweza kuaminiwa ipo siku itachukua Dola! Lakini hali imekuwa tofauti baada ya kuanza kuibuka migogoro pamoja na kukosa imani mbele ya wananchi na inaonekana dhahiri nafasi yao imechukuliwa na CHADEMA..,huku CUF imeanza kufananishwa na SAU au UPDP..na siku hadi siku chama kimekuwa kikipoteza Mvuto pamoja na Kukikimbiwa na Wanachama wake, Huku kikifananishwa na CCM B...!

Napenda nihoji yuko wapi PROFESA IBRAHIM HARUNA LIPUMBA...? Ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama! kumezuka kila aina ya migogoro,na chama kupoteza mvuto na hata kuchemsha vibaya kwenye chaguzi ndogo kama kule Igunga na Uzini...! Naamini kama Prof.Lipumba angelikuwepo angeweza kutuliza Mgogoro kati ya HAMAD RASHID na SEIF SHARIFF, na pia angekipa chama Nguvu kwenye kampeni ndogo kama kule igunga! na vile vile angekuwa anakiweka chama kwenye mwelekeo...!

Lakini sasa hivi ni dhahiri Pengo lake kubwa linaonekana na sasa hivi Chama kinamuhitaji kwenye muda huu CRITICAL ambako CUF kinaonekana kupoteza mwelekeo huku Majukumu makubwa akiachiwa Julius Mtatiro mtu ambaye experience yake ni Ndogo kisiasa kuweza kufanya maamuzi makubwa na kukiendesha Chama...! na tumekuwa tukishuhudia madudu yake kama kashfa ya magari na kuchemsha Igunga...! na hivi majuzi amedai CUF inajipanga Arumeru..,hii ni dhahiri CUF wanazidi kujipigia msumari kwenye Jeneza kabla ya kuingizwa kaburini...!

Ningependa Nishauri kokote kule Prof.Lipumba achukue maamuzi mawili mazito...,Kurudi na Kukifufua chama ama Kujivua Gamba La Uenyekiti na Kumwachia Mtu ambaye ataweza kukiendesha Chama katika Mstari..! kuliko kuwa kimya nchi za nnje...,Na sijuy siku Chama kitakaposarambatika Sura yake Ataiweka wapi ..?
 
Back
Top Bottom