NG'OTIMBEBEDZU
JF-Expert Member
- Aug 11, 2010
- 1,180
- 592
Kama haupo kwenye ndoa utasema maneno yoote mabaya kuhusu ndoa, hizo stress n.k, huletwa na style ya maisha ya wanandoa wenyewe na yaweza kuwa ukosefu wa chaguo lililo bora.mtu anaweza kuishi fulfilled life bila kuoa,kwanza ndoa za siku hizi zimejaa stress tu....sio lazima kuoa!