Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,364
Sababu kubwa Chadema wanasema CUF ni CCM B sasa kuna maandamano hapo kama yatakuwepo Chadema hawawezi kushiriki.
Kumbuka cdm wako teyari kufanya chochote kwa manufaa ya taifa alimradi wasivunje sheria na ndo maana hata walikubali kuingia ikulu ili kutafuta mstakabali mwafaka ambao ulikuwa na maslahi kwa taifa na naamini na hili kwa vile wanajua ni kwa maslahi ya taifa kamwe hawatosita kushiriki na zaidi nadhani hata baadhi ya wanachama wa ccm wenye uchungu na hii nchi watajitokeza kwa pamoja kushinikiza uwajibikaji