Mkuu Ogah nipo. Nimefurahi kukuona na wewe pia hapa. It has been such a long timeNdio Mkuu Jasusi....long time mkuu...upo?
Kiranga, Tanzania ni kama vile tumempa chizi rungu.Thread ya 2011 lakini inamhusu sana Magufuli na totalitarianism yake.
Tulikuwa tunakata mada bila mipasho, kwa kituo na juzuu za chuo.
Huwezi kusema kwamba sijaasa.Kiranga, Tanzania ni kama vile tumempa chizi rungu.