That's what you were told; and what did you find out on your own?
Waanze wa kagoda,wa kuchangishana (jairo) na wa rada,mbona hawa nao walivunja sheria
Niliusikiliza mjadala wote jana nilijifunza mambo mengi sana kuhusu mswada ulopiishwa. Nilimsiki Prof.Issa Shivji akitamka waz kuwa yaliyomo hayatufai. Hapo nilijifunza kitu kimoja tu kuhusu watawala wetu kuanzia waliopendekeza, walioupitisha hadi aliyeusaini kuwa wamelewa madaraka na wametawaliwa na unafiki.
Hizi aina ya sheria zilitungwa ili kufuatwa lakini zina maumbile ya kuvunjwa.... Na ni kama vile zimeandikwa 'bend here to break'
siamnini kama hii nchi itafika 2015 ikiwa salama!!!