Nafikiri kwa alichofanya prof. Mwakyusa inabidi tumpongeze na sio kumlaumu.
Kwa Tanzania yenye mijitu iliyojaa chuki kupita kiasi, kitendo cha prof. Mwakyusa kumteua mpinzani wake tena baada ya zoezi la uchaguzi kuisha mimi nakiona kama cha ujasiri mkubwa. Labda kitu cha kujiuliza hapa ni je Kasesela ana sifa kwa nafasi aliyopewa? Kama ana sifa mimi sioni ubaya wowote. Kasesela kupewa hicho cheo hakumpunguzii nafasi ya kugombea 2015 na huenda kuna mwongezea. Habari nyepese nyepesi za hayo maeneo ni kwamba Kasesela alimshinda prof. kwenye kura za maoni ila wajanja wakaamua kuchakachua kura.
Prof. Mwakyusa ni binadamu sana hata katika maisha yake ya kawaida na labda ni tofauti na wanasiasa wetu wengi tulio wazoea.
Huyo aliyempa cheo kaka yake ni suala tofauti kabisa.

Mzee, huoni kuwa hii huenda ikawa ni rushwa. Je kama wapambe wa Kasesela wangeamua kupigia upinzani? Kumbuka huyu alimshinda mwenzake kwa kura chache sana
Prof. Mwakyusa amepita bila kupingwa na wala alikuwa hahitaji mtu wa kumsaidia katika kupambana na Wapinzani.
Ukiangalia upande mwingine wa shilingi, unahitaji moyo sana kufanya alichofanya huyu profesa. Wengi wetu tunawatakia wapinzani wetu mabaya ili ikiwezekana hata waadhirike mitaani.
Kama Kasesela ana sifa za hiyo kazi aliyopewa mimi nampa sifa Mwakyusa kwa ujasiri huo wa kumpenda adui yake.
Inaelekea Acid anajua zaidi na labda atusaidie vinginevyo inabidi kukubali kwamba alichofanya prof ni uungwana mkubwa sana.
hongera richard
hii familia wana bahati sana maana naona dada mtu alipata ujumbe wa bodi ya TACAIDS juzi tu hapa... Mama Nyoni, Dr. Mwakyusa...hongereni sana kwa kuona hawa watu