Prof David Mwakyusa ameachwa licha ya kuahidi kufuatilia afya ya Rais kwa karibu

Kweli Zenji wanatuibia post sana hawako hata 2million lakini wanataka wapate sawa na sisi tuko over 40million hawa jamaa wana problem sana. dawa ni kuwaacha waende kivyaovyao

Kwenye Uraisi wa jamhuri ya Muungano ndo walie kabisa hawatachukua kamwe
 
Bora wamempumzisha maana kazidi kuzubaa mpaka watu wanafikiri hawajibiki.
Ukiwa waziri ni lazima uwe mbunifu kama kina magufuli
Hata ningekuwa mimi nisingempendekeza Mwakyusa, He is very poor in attaining his duties. Mimi siamini kuwa hospitali pekee ya rufaa inayomilikiwa na serikali( mbeya refferal hospital) inaweza kukosa vifaa kama CT scan au kukosa idara nyingine kama idara ya magonjwa ya masikio, pua na koo( ENT) kama siyo utendaji mbovu. CT scan zipo hata kwenye vi hospitali vidogo sana lakini hospitali ya Mwakyusa tena inayohudumia wanyakyusa wenzie haina huduma hiyo, wewe nenda tu huko utapewa barua ya rufaa kwenda muhimbili kcmc au aghakan ili ukapige picha ya CT. Mwakyusa anadeserve kumwagwa!
 
aende zake huko. alikuwa wapi hadi rais akadondoka? after all, afya ya rais inalindwa na shekh Yahaya!
 
Hata ningekuwa mimi nisingempendekeza Mwakyusa, He is very poor in attaining his duties. Mimi siamini kuwa hospitali pekee ya rufaa inayomilikiwa na serikali( mbeya refferal hospital) inaweza kukosa vifaa kama CT scan au kukosa idara nyingine kama idara ya magonjwa ya masikio, pua na koo( ENT) kama siyo utendaji mbovu. CT scan zipo hata kwenye vi hospitali vidogo sana lakini hospitali ya Mwakyusa tena inayohudumia wanyakyusa wenzie haina huduma hiyo, wewe nenda tu huko utapewa barua ya rufaa kwenda muhimbili kcmc au aghakan ili ukapige picha ya CT. Mwakyusa anadeserve kumwagwa!

Kabla ya kufikia hitimisho la mawazo yako ingekuwa bora ungefahamu nini kazi ya waziri. Napenda kukufahamisha kuwa Waziri wa Afya (mwanasiasa) sio Mganga Mkuu wa Nchi (Mtaalamu) Kwa bahati mbaya hatuna nafasi au cheo cha Mganga/Daktari Mkuu wa Nchi ya JMT.
 
Wakati mhe Kikwete alipopata matatizo afya pale viwanja vya Jangwani kwenye mkutano kampeni Prof David Mwakyusa alisema kuwa yeye kama waziri wa Afya angefuatilia kwa makini afya ya rais wa nchi. Sasa nimishangaa akupewa tena wizara ya Afya na kibaya zaidi ameweka kabisa pembeni.
Ni bora ametoswa. Alituulia Mwalimu wetu wa Taifa, cna hamu naye
 
singida kwetu......?
Aaagh hatuwezi kwani tunachagua wabunge darasa la saba na form four

Jamani si kuna Nyalandu na huko nyuma Chiligati? Na hao akina John Silinde, Prof Maji Marefu, et al wametokea Singida?
 
Na Msolla vipi?

Huyo ndiye Zero kabisa, alisema ati wanafunzi wa vyuo kuruhusiwa kupiga kura ni kufanya siasa vyuoni wakati wanafunzi wanafanya chaguzi zao kwa kura, ktk kupata rais, mawaziri na viongozi wao wa vyuo! Na mfano UDSM, Siasa ni faculty (kitivo) muhimu mno, na huyu Prof Msolla alipotoka mno kuongelea suala kama hilo kisiasa kuliko kutoa facts ambazo kila msomi na mtu wa kawaida angemkubali. Ameharibu na hafai kwa wizara yoyote kwani ni mpotoshaji na muongo
 
Kabla ya kufikia hitimisho la mawazo yako ingekuwa bora ungefahamu nini kazi ya waziri. Napenda kukufahamisha kuwa Waziri wa Afya (mwanasiasa) sio Mganga Mkuu wa Nchi (Mtaalamu) Kwa bahati mbaya hatuna nafasi au cheo cha Mganga/Daktari Mkuu wa Nchi ya JMT.

si sahihi kuna nyadhifa inaitwa CMO,huyu ni sawa na uliyemtaja.
 
unajifanya hujui! wale jamaa samahani nawe umo! tunazo taarifa sahihi kwamba mnataka kuisilimisha nchi yetu na kama mjuavyo tulikuwa tumelala nasi tumeamka sasa thats why mlipiga kura ki bloc meaning mikoa yenye idadi kubwa ya waumini wa dini ya kiislamu namba moja na mbili wameshika wagombea wa elimu akhera ilhali maeneo yaliyobaki ndivyo sivyo source matokeo kabla ya uchakachuzi and that is the reality!:painkiller:

Acha udini wewe! Kama kweli wakiristo hawana udini mbona mikoa waliko wengi hawakumpigia jk? Huu si wkt wa kulumbana kuhusu dini ongeleeni maendeleo kama huna cha kuchangia kaa kimya..! Unafikiri watu hawajui nyerere na mkapa walivyoikatolicitize hii nchi mpaka wanapewa utakatifu aache kupewa lugambwa..!
 
Kabla ya kufikia hitimisho la mawazo yako ingekuwa bora ungefahamu nini kazi ya waziri. Napenda kukufahamisha kuwa Waziri wa Afya (mwanasiasa) sio Mganga Mkuu wa Nchi (Mtaalamu) Kwa bahati mbaya hatuna nafasi au cheo cha Mganga/Daktari Mkuu wa Nchi ya JMT.

Kwataarifa tu, Tanzania kuna cheo cha mganga Mkuu wa nchi nae huitwa CHIEF MEDICAL OFFICER na kwasasa ni Dr. Mutasiwa kama sijakosea!!
 
Huyo ndiye Zero kabisa, alisema ati wanafunzi wa vyuo kuruhusiwa kupiga kura ni kufanya siasa vyuoni wakati wanafunzi wanafanya chaguzi zao kwa kura, ktk kupata rais, mawaziri na viongozi wao wa vyuo! Na mfano UDSM, Siasa ni faculty (kitivo) muhimu mno, na huyu Prof Msolla alipotoka mno kuongelea suala kama hilo kisiasa kuliko kutoa facts ambazo kila msomi na mtu wa kawaida angemkubali. Ameharibu na hafai kwa wizara yoyote kwani ni mpotoshaji na muongo

Hilo ndiyo tatizo kubwa kabisa la huyo mheshimiwa
 
Back
Top Bottom