Prof. Daimon Mwaga katutoka

Indume Yene

Platinum Member
Mar 17, 2008
2,950
711
Ndugu watanzania na wana JF wenzangu, kwa masikitiko makubwa napenda kuwajulisha habari ya msiba wa Prof. Daimon Mwaga aliyefariki jana usiku 8/2/2011 jijini Dar es salaam. Marehemu alikuwa anasumbuliwa na moja ya body organs.

Marehemu aliwahi kuwa mbunge wa Kibakwe (Dodoma) kabla ya kushindwa kwenye kura za maoni (2005) na Mh. Simbachawene. Baadaye alijiunga na chuo kikuu cha St. John kilichoko Dodoma. Hadi mauti inamfika Prof. Mwaga alikuwa Deputy Vice Chancellor (Academics).

Poleni familia (mmoja wa wanae ni memba hapa).
Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi.
Amina.

Naamini hili jukwaa ni mahala pake kwa sababu marehemu aliwahi kuwa mwanasiasa.
Nataarifisha.
 
Mungu amlaze pema prof. poleni familia na watanzania woote kwa ujumla kwa kumpoteza msomi huyo.
 
R.I.P Prof. Daimon... daima utakumbukwa kwa mema yote uloitendea nchi hii!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom