Prof. Costa Mahalu aanza utetezi, awataja mzee Mkapa na rais wa sasa Kikwete!

MKWECHE

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
299
64
Prof. Mahalu ameanza kujitetea jana mahakamani katika kesi yake ya Uhujumu uchumi inayomkabili na Kuwataja Mabosi wake enzi hizo akiwa Balozi wa Italy kwamba aliwaarifu kinachoendelea katika ufanyaji wake wa Kazi!

Mabosi hao ni Rais na waziri wa Mambo ya nje enzi hizo.
 
Mkuu natabiri kesi kutupiliwa mbali, kama yule tapeli Naeem Gire wa Richmond serikali inamshindwa itakuwa badozi tena mwenye PhD ya sheria!!! Ni kupotezeana muda tu!
 
Mkuu natabiri kesi kutupiliwa mbali, kama yule tapeli Naeem Gire wa Richmond serikali inamshindwa itakuwa badozi tena mwenye PhD ya sheria!!! Ni kupotezeana muda tu!
Yani hapo umenena, vijikesi vidogo vyenye ushahidi wa wazi serikali yetu inapigwa chini sasa hii watashindaje na mtuhumiwa ni bingwa kwenye sheria?
 
prof. Mahalu ni fisadi hilo lipo wazi sema kutokana na nchi ya kifisadi atashinda kesi!
 
Hii kesi imechukua muda sasa, nini hatma yake?

Hatima yake ipo wazi, angalia uzito wa mashahidi wake, kashitakiwa na serikikali na ni kama anatetewa na serikali.
Pia ieleweke kuwa serikali nyingi hazina historia ya kushinda kesi.
 
Inawezekana kabisa wameshaandaa na sehemu ya kufanyia party baada ya kutangazwa ushindi wa prof. Mahalu...
 
Pesa zilienda CCM, tatizo ni Middle Men wengine hawakupata hizo 10% mfano mzuri ni yule aliyefungua kesi hiyo former Katibu Mkuu Ofisi ya Rais ambaye sasa ni Balozi???
 
Atashinda tu hiyo kesi,halafu atafungua kesi nyingine dhidi ya serikali kudai fidia ya kupotezewa mda wake,kuvunjiwa utu na heshima na madai mengine ambayo yatafaa
 
My friends kinachoniudhi mimi na hii kesi ni kwanba tunajua kwamba kuna Ufisadi ulitendeka tena wa hali ya juu,Lakini cha kushangaza hata kama mtu utasema ni kutafuta maslahi ni kwanini Mabere Marando Anamtetea je itakuwa halali kwa CHADEMA kumtegemea mtu kama huyu kwenye kupiga vita UFISADI- lazima tuchunguze ukweli kuhusu huyu Marando,BUT Mahula hata tungeweka kesi wapi atashinda maana ni Syndicate ya Mkapa na Kikwete sisi tunapigwa mchanga wa macho but thier days are numbered
 
Kama Mahalu atashinda hii kesi basi nitajua watanzania nasi tumeshonewa kwenye magunia. Yaani nyumba ya Euro milioni 100 inanunuliwa kwa milioni mia tatu. Huu ni wizi wa wazi kabisa. Tuache kushabikia kwenye internet tufanye kwa vitendo. Nimejaribu kuagalia vitu vingi tunamlaumu Kikwete lakini yeye kazingirwa na mapapa na wengine ndio wapo humu jf kutetea huo ubadhilifu ili waendelee kulinda masilahi yao. Ninadhani na Kikwete amechoshwa na maneno ya kila siku bila kuchua hatua.
 
ʞontɹact Sniper;2316945 said:
Hatima yake ipo wazi, angalia uzito wa mashahidi wake, kashitakiwa na serikikali na ni kama anatetewa na serikali.
Pia ieleweke kuwa serikali nyingi hazina historia ya kushinda kesi.
Si Serikali nyingi labda useme, Serikali corrupt hazina historia ya kushinda kesi. Kama issue ya UDA inaihusu kampuni ambayo Kapuya ni Mwanahisa wake alafu Serikali inamweka Kapuya kuwa Mwenyekiti ya Tume ya kuchunguza Mkataba wa kampuni hiyo na UDA unategemea wanataka awaletee jibu gani jamani!

Watanzania tuamke sasa!
 
huwezi jua. inawezekana visasi vya kibabu seya vikafanya kazi...jamaa akawa tallest and 1st professor prisoner tz!
 
Kama Mahalu atashinda hii kesi basi nitajua watanzania nasi tumeshonewa kwenye magunia. Yaani nyumba ya Euro milioni 100 inanunuliwa kwa milioni mia tatu. Huu ni wizi wa wazi kabisa. Tuache kushabikia kwenye internet tufanye kwa vitendo. Nimejaribu kuagalia vitu vingi tunamlaumu Kikwete lakini yeye kazingirwa na mapapa na wengine ndio wapo humu jf kutetea huo ubadhilifu ili waendelee kulinda masilahi yao. Ninadhani na Kikwete amechoshwa na maneno ya kila siku bila kuchua hatua.
Fasta Fasta, Prof atashinda hii kesi kwa haki!. Property Tax kwa nchi za wenzetu iko juu sana hivyo ukiuza nyumba unaweka bei mbili, ya chini ambayo ndio iko kwenye risiti na kulipiwa kodi za serikali, na bei halisi kwa mwenye nyumba. Mkataba halali ni ule wa bei ya chini ya serikali. Serikali inajua kila kitu na kila hatua!.

Bomu lilipo lipuka, mwenyenyumba inambidi lazima aruke malipo ya pili maana ikijulikana ni jela!. Ndio maana mnunuzi kagoma katakata kuja kutoa ushahidi!.

Kwa vile kwa sheria yetu ushahidi wa video sio permisable, Prof. Mahalu ataachiwa kwa kukosekana ushahidi, ila hii kesi ni muendelezo wa kesi za visasi za mkuu wetu. Yeye akiwa MFA kuna mahali walipitiana na Mahalu, kwa vile Mahalu alikuwa ni best na Mkapa, baadhi ya mambo yalipitishwa juu kwa juu na kumbypass yeye, hivyo sasa ndio anakomoa!.
 
..haya mambo wangeyamaliza tu kama Kawawa[r.i.p] na Msekwa walivyomaliza "tofauti" zao.
 
Back
Top Bottom