Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,301
- 4,681
Huyu dingi anashangaza sana ni wazi kwamba CHADEMA walishinda kwa sababu wana MUNGU na CCM wana FEDHA iweje tu baada ya Uchaguzi baregu anamkataa Mungu aliyeipa CDM ushindi Arumeru? Falsafa yake ya kipagani abaki nayo humo humo ila akija Arusha ambako watu wengi wanamheshimu Mungu hatapata support ya upagani wake. kam siyo mnafiki na wakutaka kumfurahisha Devil basi angekuja na kitabu cha hiyo dini yake ili tujue anachokiamini. Lazima at some point binadamu walikuwa wanaamini kitu, iwe miti, mawe n.k. kama ana ujasiri angeleta hata jiwe au kipande cha mti basi tujue anaamini nini?. kwa hili prof. anaonekana kuyumba simpi support hata kidogo na CDM katu msiendekeze hii imani ikataeni kwani ni KWA SABABU YA KUMTUMAINI MUNGU MMEFIKA HAPO MLIPOFIKA. Mkikosea kumfuatisha Baregu mtatetereka within no time. Lets keep our faith on God tuache ujinga.
Usikurupuke kama mwanariadha...
Hizi dini mbili mlizonazo zililetwa hapa nchini na Meli za wakoloni.
Kabla ya hizi Meli kuja hapa nchini ukae ukijuwa hakukuwa na Msahafu wala Biblia.
so Profesa yeye ameamua kubaki kulekule walikokuwa wanaabudu Babu zetu.
Haters feel free, ur time is now