Producer wa mkaa bora Kilimanjaro au tanga

flif

New Member
Feb 3, 2012
4
0
Dear wana jamii forum,

Naitaji kufanya biashara ya mkaa bora( biomass briquette). Nimefanya uchunguzi nikaambiwa kuna kiwanda kipo tanga kinatengeneza kwa wingi, tatizo sijajua kipo tanga sehemu gani na ni kwa vipi naweza kupata mawasiliano yao ili nifanye uchunguzi kama biashara italipa.Ningependa kupata details za iko kiwanda kama kuna anayefahamu.


pia kama kuna kiwanda cha aina iyo kilimanjaro pia naomba information zake.
 
Back
Top Bottom