samahan kwa usumbufu mlioupata. N kaz yoyote inayohuciana na storekeppin o procurement department!
Still nasoma,Npo open university! Holder of F2 dat of nbmm nwadays PSPTB.
Nauona upole wako mkuu!nyambafuu
nyambafuu
natafta kazi ya kichwa husika hapo juu. . Nnae experience na kaz, hardworker, undergraduate CPS. . .
Naomba ushirikiano wenu wana JF.
Post za mjini Arusha ztapewa kipaumbele. . Asanteni JF.
utapewa ushirikiano kupata kazi ya kichwa