Problems with urinary system: Please Help me

jackjusto

Member
Mar 25, 2008
10
0
Hi friends, i have a problem with my Urinary system, nimekaa nalo muda sasa sababu ni kutokujua rafiki zangu. I always feel pains when i'm on short call. and i i have been consulting various doctors lakini bado sipati tiba sahihi.

historically,
nimeishi shinyanga,baade mwanza then niko dar saizi, niliugua kichocho mara kadhaa nikiwa shinyanga kijijini kwetu ambapo matibabu hayakuwa mazuri sana, lakini dozi nilizokuwa napewa zilikuwa ni underdose kwani baadhi ya waste product hazikutoka wakati natumia hizo dawa matokeo yake kuna kipindi nilikuwa nawashwa chini chini, hadi nikaanza kusikia maumivu ambayo nayasikia saizi. na tatizo lingine ambalo nadhani linasababishwa na hilo ni diabete/Kisukari kwani mfumo wa mkojo haufanyi kazi vizuri kwa hiyo baadhi ya vitu havitoki nje vinarudi bdani ya mfumo wa damu.

Jamani nisaidieni, sina amani.
 
Hi friends, i have a problem with my Urinary system, nimekaa nalo muda sasa sababu ni kutokujua rafiki zangu. I always feel pains when i'm on short call. and i i have been consulting various doctors lakini bado sipati tiba sahihi.

historically,
nimeishi shinyanga,baade mwanza then niko dar saizi, niliugua kichocho mara kadhaa nikiwa shinyanga kijijini kwetu ambapo matibabu hayakuwa mazuri sana, lakini dozi nilizokuwa napewa zilikuwa ni underdose kwani baadhi ya waste product hazikutoka wakati natumia hizo dawa matokeo yake kuna kipindi nilikuwa nawashwa chini chini, hadi nikaanza kusikia maumivu ambayo nayasikia saizi. na tatizo lingine ambalo nadhani linasababishwa na hilo ni diabete/Kisukari kwani mfumo wa mkojo haufanyi kazi vizuri kwa hiyo baadhi ya vitu havitoki nje vinarudi bdani ya mfumo wa damu. jamani nisaidieni, sina amani.

Hiyo diabetes/kisukari unayo au unafikiri tu? Maana sidhani kama kuna kitu kama uchafu kurudi ndani kwenye kisukari. Labda una matatizo na kidneys/figo.
Madaktari wanasemaje?
 
Pole sana!

Fanya hima kesho asubuhi ukamwone Dokta popote ulipo Tz. Hapa utapata ushauri mzuri sana ila mwisho wa siku lazima uende hospitalini na kupata matibabu.

Bel.
 
Hi friends, i have a problem with my Urinary system, nimekaa nalo muda sasa sababu ni kutokujua rafiki zangu. I always feel pains when i'm on short call. and i i have been consulting various doctors lakini bado sipati tiba sahihi.

historically,
nimeishi shinyanga,baade mwanza then niko dar saizi, niliugua kichocho mara kadhaa nikiwa shinyanga kijijini kwetu ambapo matibabu hayakuwa mazuri sana, lakini dozi nilizokuwa napewa zilikuwa ni underdose kwani baadhi ya waste product hazikutoka wakati natumia hizo dawa matokeo yake kuna kipindi nilikuwa nawashwa chini chini, hadi nikaanza kusikia maumivu ambayo nayasikia saizi. na tatizo lingine ambalo nadhani linasababishwa na hilo ni diabete/Kisukari kwani mfumo wa mkojo haufanyi kazi vizuri kwa hiyo baadhi ya vitu havitoki nje vinarudi bdani ya mfumo wa damu. jamani nisaidieni, sina amani.

Pole sana. Acha kucheza na maisha yako- you live once. Kwa maelezo yako inaonekana either ulienda dispensary za uchochoroni au hukuwaelewa madaktari kwa sababu bado una misconceptions.
Nakushauri utumie mali zako ulizonazo kujitibu, nenda hospitali ya kueleweka, na kwa ushauri wangu ni either 1) Muhimbili fast track ama 2) Aga Khan.
Kama wataka contacts za madaktari wa hospitali hizo nistue nikupe.
 
Matatizo kama yako, huku kwetu pwani, kwa wenye asili ya pwani, huwa tunalitibu kiurahisi:

1) Tafuta mdalasini (wasio waswahili huiita Abdallasini) iliyosagwa, changanya mdalasini, kijiko kimoja cha chai, kilichojaa sawa-sawa, na maji ya vugu-vugu kwenye kikombe cha chai cha kawaida, sio mug, kunywa kutwa mara tatu kwa muda wa siku kumi mfululizo. Kisha tuletee majibu hapa hapa.
 
Pole sana. Acha kucheza na maisha yako- you live once. Kwa maelezo yako inaonekana either ulienda dispensary za uchochoroni au hukuwaelewa madaktari kwa sababu bado una misconceptions.
Nakushauri utumie mali zako ulizonazo kujitibu, nenda hospitali ya kueleweka, na kwa ushauri wangu ni either 1) Muhimbili fast track ama 2) Aga Khan.
Kama wataka contacts za madaktari wa hospitali hizo nistue nikupe.

Pole sana mkuu.Nafikiri kuna haja ya kuufuata ushauri huu wa saikosis,ingawa binafsi nafikiri Muhimbili fast track panafaa zaidi kwani nina imani hata gharama zinaweza kuwa chini kidogo ukilinganisha na Aga khan.Pia Muhimbili utakuwa na nafasi ya kuchagua daktari unaemtaka kitu kinachoweza kupelekea kupata daktari mzuri wa tatizo lako.Pia ningeshauri kama utaenda Muhimbili ungewasiliana kwanza na saikosis kwani anaonekana atakuwa na msaada mzuri katika harakati za kumpata daktari muhafaka wa tatizo lako,ikishindikana ni pm naweza kuwaulizia rafiki zangu pale muhas.
 
Hi friends, i have a problem with my Urinary system, nimekaa nalo muda sasa sababu ni kutokujua rafiki zangu. I always feel pains when i'm on short call. and i i have been consulting various doctors lakini bado sipati tiba sahihi.

historically,
nimeishi shinyanga,baade mwanza then niko dar saizi, niliugua kichocho mara kadhaa nikiwa shinyanga kijijini kwetu ambapo matibabu hayakuwa mazuri sana, lakini dozi nilizokuwa napewa zilikuwa ni underdose kwani baadhi ya waste product hazikutoka wakati natumia hizo dawa matokeo yake kuna kipindi nilikuwa nawashwa chini chini, hadi nikaanza kusikia maumivu ambayo nayasikia saizi. na tatizo lingine ambalo nadhani linasababishwa na hilo ni diabete/Kisukari kwani mfumo wa mkojo haufanyi kazi vizuri kwa hiyo baadhi ya vitu havitoki nje vinarudi bdani ya mfumo wa damu. jamani nisaidieni, sina amani.

Aisee pole sana mkuu, nikweli kabisa tatizo lako inawezekana likawa na uhusiano mkubwa na hizo episodes za kichocho( schistosomiasis) ulizopata kipindi cha nyuma. Madhara ya kichocho ni mengi lakini mbaya zaidi inaweza kusababisha kansa ya kibofu cha mkojo. Ambayo moja kati ya dalili ni kuongezeka kwa frequency za kukojoa, kujisikia kukojoa hata mara baada ya kutoka kujoa wakati mwingine kukojoa damu ikiambatana na vipande vya nyama(shreads), nk. Ni muhimu kufanya uchunguzi mapema kuna vipimo vinavyoweza kuonesha tatizo lilipo (cystoscope) na hatua za haraka kuchukuliwa mapema.
Upande wa Diabetes dalili zake ni kunywa maji kwa wingi kupita kiasi(Polydipsia), Kusikia njaa sanaaaa ikiambatana na kula sanaaaa(polyphagia) bila kuongezeka uzito, na kukojoa sanaaaa (polyuria), pia unatakiwa kufanya uchunguzi wa mapema ingawa hamna uhusiano wa moja kwa moja wa kisukari na kichocho.
 
saikosis Thanks a lot man , naomba unipe namba nikamtafute doctor wa mhimbili. maana maelezo yako na ya mganga wa jadi ndo matatizo yangu haswa. Nipaishie kwenye namba yangu ni 0716 63 6060
 
Mganga wa jadi umepatia bwana, ahsante, ndo matatiza ambao yananisumbua sana.yaaani kuna doctor mmoja anasema hivyo ivyo kaniambia nisubiri dawa moja hivi inaitwa plucan, iko mhimbiri research institute naweza kunisaidia lakii sasa imepta muda dawa haijatengenezwa. Napata wasiwasi, kwani hiyo dawa itakuwa ni ya stage ya tatu.
 
Hi friends, i have a problem with my Urinary system, nimekaa nalo muda sasa sababu ni kutokujua rafiki zangu. I always feel pains when i'm on short call. and i i have been consulting various doctors lakini bado sipati tiba sahihi.

historically,
nimeishi shinyanga,baade mwanza then niko dar saizi, niliugua kichocho mara kadhaa nikiwa shinyanga kijijini kwetu ambapo matibabu hayakuwa mazuri sana, lakini dozi nilizokuwa napewa zilikuwa ni underdose kwani baadhi ya waste product hazikutoka wakati natumia hizo dawa matokeo yake kuna kipindi nilikuwa nawashwa chini chini, hadi nikaanza kusikia maumivu ambayo nayasikia saizi. na tatizo lingine ambalo nadhani linasababishwa na hilo ni diabete/Kisukari kwani mfumo wa mkojo haufanyi kazi vizuri kwa hiyo baadhi ya vitu havitoki nje vinarudi bdani ya mfumo wa damu. jamani nisaidieni, sina amani.

Pole sana bwana Jack....nimekupata vilivyo! I had the similar problem for like 10 years japo historia yake haifanani sana na yako ila nilikuwa nafeel maumivu makali sana kwenye njia ya mkojo! Nilitumia dawa nyigi sana za mitishamba na antibiotic ones (za hospitalini) lakini haikuwa suluhisho!

Kwa kifupi tu, nilifanyiwa kipimo kinaitwa Urethrogram for the first time pale fast track Muhimbili, that time (2003) cost ilikuwa Tshs 90,000...hapo nilipelekwa na Dr. wa Regency Hospital, baada ya kipimo hicho wakaona kwenye UT kuna tricture (like kovu), ambalo ikagundulika ilikuwa ni chanzo cha maumivu! So the solution ikawa ni operation ndogo wanaiita something like DVU (not sure with initials, watalaam wanajua zaidi)! Then for the next three months nikawa fit, yaani bila maumivu yoyote, theafter tatizo likarudia tena.....!lakini sikwenda tena hospital cause nilianza kukata tamaa...lakini baadaye one of the JF member akanielekeza kwa Dr. fulani wa pale Muhimbili, ambaye aliamini angenisaidia. Bahati nzuri, yule Dr. nikaja kukutana naye pale Tumaini hospital, ambapo nifanyiwa kipimo cha Urethrogram tena hapohapo Tumaini, ikaoneka kuna kovu tena, so Dr. huyo kanifanyia upasuaji mwingine! Lakini, tofauti na Dr. wa Regency, huyu baada ya upasuaji akanipangia mazoezi makali ya kufanya kwa miezi mitatu hivi chini ya usimamizi wake, from there nikawa fit kabisa nakojoa vizuri bila shida till today! The total cost, second time was like Tshs 560,000.

So mkubwa nimekupa kaexperience kangu ili ujue kwamba tatizo lako, lazima litakuwa na suluhu tu at the end ukiwafuata watalaam! Please if you want further details of these doctors, just PM me! Will be happy to explain more details on how you can go about!

Pole tena ndugu yangu...bt yana mwisho hayo!
 
kaka, naomba unisadie kuwasiliane na hao doctors ili nami nipate kupona mkuu.
 
Last edited:
Back
Top Bottom