Problem with symbian nokia software update.

Loyal_Merchant

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
623
267
Nina nokia e50, na nlikuwa nataka update version ya os yake. Nmejarib kila njia ikiwamo ktk site yao ya nokia lakn nmeshndwa. Kwa yeyote anaejua jns ya kuupdate aniguide plz.
 
jaribu kudownload nokia software updater hapo itacheki kama kuna latest update yoyote kwenye cm na itamaliza mambo mengine yenyewe au update over the air
 
kukatika kwa power during installation unaweza ukaiharm simu yako. Tumia laptop yenye chaji la sivyo mgawo waweza kuumbua
 
Nina nokia e50, na nlikuwa nataka update version ya os yake. Nmejarib kila njia ikiwamo ktk site yao ya nokia lakn nmeshndwa. Kwa yeyote anaejua jns ya kuupdate aniguide plz.
kwanza ni lazima cmu yako iwe na full charge au angalau more than 60%. Bila hivyo itakata connection wakati unaiupdate.Bonyeza *#0000# kwenye cmu yako kisha itakuonesha version ya cmu yako. Bonyeza button ya option(ambayo mara nyingi huwa upande wa juu kabisa kushoto wa cmu), na utakuta sehemu ya kuiupdate version ya cmu yako**then u're good 2 go!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom