Pro-CHADEMA wengi ni mbumbumbu wa siasa?..Let me Teach you once for all-freely

Eng Burton B. Ukoko

Ni zao la mfumo wetu wa elimu na makuzi, hairuhusiwi na nikosa kukosoa serikali, lazima ujipendekeze ili usipoteze kazi hasa kama wewe ni mbabaishaji, usitishiwe kuuwawa. Huyo Waberoya alikuja hapa na kutambulisha jina hili eti ametishiwa uwawa na usalama wa taifa, sisi wajanja tulilijua ni janja ya kitoto. Hawezi sifia chochote nje ya serikali, angalia mabandiko yake hapa JF. Kwenye elimu yetu Mwalimu anapokuwa darasani anaongea na kufundisha na wanafunzi wanasikiliza huwezi kuhoji wala kuuliza swali hii itakuletea matatizo matokeo yake ndo haya akina Burton, wanaishia kutoa generalization zisizo na kichwa wala miguu. Ninavyojua Engineers ni watu wanaotumia takwimu kujenga hoja huyu jamaa bila shaka amejipachika cheo ama wadhifa wa Eng ili kushusha na kudhalilisha watu walio kwenye fani hiyo. Nitakuja na Mabandiko yake hapa shortly.
 
Eng Burton B. Ukoko

Ni zao la mfumo wetu wa elimu na makuzi, hairuhusiwi na nikosa kukosoa serikali, lazima ujipendekeze ili usipoteze kazi hasa kama wewe ni mbabaishaji, usitishiwe kuuwawa. Huyo Waberoya alikuja hapa na kutambulisha jina hili eti ametishiwa uwawa na usalama wa taifa, sisi wajanja tulilijua ni janja ya kitoto. Hawezi sifia chochote nje ya serikali, angalia mabandiko yake hapa JF. Kwenye elimu yetu Mwalimu anapokuwa darasani anaongea na kufundisha na wanafunzi wanasikiliza huwezi kuhoji wala kuuliza swali hii itakuletea matatizo matokeo yake ndo haya akina Burton, wanaishia kutoa generalization zisizo na kichwa wala miguu. Ninavyojua Engineers ni watu wanaotumia takwimu kujenga hoja huyu jamaa bila shaka amejipachika cheo ama wadhifa wa Eng ili kushusha na kudhalilisha watu walio kwenye fani hiyo. Nitakuja na Mabandik

o yake hapa shortly.


FellowT unajisumbua tu hapo hakuna injinia///
 
Eng Burton B. Ukoko

Ni zao la mfumo wetu wa elimu na makuzi, hairuhusiwi na nikosa kukosoa serikali, lazima ujipendekeze ili usipoteze kazi hasa kama wewe ni mbabaishaji, usitishiwe kuuwawa. Huyo Waberoya alikuja hapa na kutambulisha jina hili eti ametishiwa uwawa na usalama wa taifa, sisi wajanja tulilijua ni janja ya kitoto. Hawezi sifia chochote nje ya serikali, angalia mabandiko yake hapa JF. Kwenye elimu yetu Mwalimu anapokuwa darasani anaongea na kufundisha na wanafunzi wanasikiliza huwezi kuhoji wala kuuliza swali hii itakuletea matatizo matokeo yake ndo haya akina Burton, wanaishia kutoa generalization zisizo na kichwa wala miguu. Ninavyojua Engineers ni watu wanaotumia takwimu kujenga hoja huyu jamaa bila shaka amejipachika cheo ama wadhifa wa Eng ili kushusha na kudhalilisha watu walio kwenye fani hiyo. Nitakuja na Mabandiko yake hapa shortly.
Mkuu tunasubili hayo mabandiko kabla wengine hatujakatiwa umeme, maana ccm ni janga la kitaifa, sasa hivi nchi nzima tupo gizani halafu wanatokea mafala wa kuja kuitetea ccm!
 
They are thinking like this,if you are not chadema you must be CCM!!! chadema wana kazi sana; credibility imeshuka, maana unashindwa kuelewa are these guys are expected to be future leaders, mbona wako wako tu kama vivuta bangi fulani vya kwetu Tandale?? kila post yao mipasho

ebu leta post ya mwanachadema mmoja ambaye utapata chakula cha kwenye brain!! hamna!
Duh, wewe ndo ulikuwa unahubiri injili. Its no wonder uliyekuwa unamhubiria alikujibu majibu ya kiburi. Mbona una lugha za dharau sana? In general kutofautiana mitizamo na misimamo haimaanishi umbumbumbu. Na kama wewe umeona wenzako ni mambumbumbu basi yawezekana hata wao wanakuona wewe ni mbumbumbu. Kwa kuwa wanachokiamini na kukielewa wao sicho unachokiamini wewe. Wanachokiona wao ni sahihi, sicho kilicho sahihi kwako and vice versa. Kwa kuzingatia hilo, hakuna aliye bora kumshinda mwenzie. Wote mnakuwa ni mambumbumbu.
 
Mkuu tunasubili hayo mabandiko kabla wengine hatujakatiwa umeme, maana ccm ni janga la kitaifa, sasa hivi nchi nzima tupo gizani halafu wanatokea mafala wa kuja kuitetea ccm!

Nina mfungulia Thread!
 
Nimepitia Mabandiko ya Eng Bukuku nimegundua yupo kwa kazi maalumu. Uzuri JF ni kisima cha kumbu kumbu na maandishi yake huwa hayafutiki. Thanks MoDS. Ukiangalia mabandiko yake hapa nimechagua 9 tu!!!

https://www.jamiiforums.com/search.php?searchid=4856072

Utaona ni propaganda mbaya zidi ya CHADEMA wakati huo huo akijificha juu ya kivuli kuwa yeye yuko independent. Nitaweka baadhi ya thread zake hapa


  1. Pro-CHADEMA wengi ni mbumbumbu wa siasa?..Let me Teach you once for all-freely
2.Thank God Slaa is not the president, and that will never be

3.Possibility of Changing my ID

4.Inflammatory: CHADEMA hawako kwa maslahi ya taifa, they are just another tool

5.Risk Assessment and Management: CHADEMA nayo Imuondoe Dr. W. Slaa!

6.Chadema na cuf nunueni majeneza na sanda...hamtufai Tanzania

7.Many CHADEMA followers are NOT Real and are like UVCCM! ( IS CCM>WAPINZANI??)

8.Challenge: Is Mbowe another future Rostam Aziz or Edward Lowassa?

9.CCM ukimwi! Babu Loliondo -Chadema


Kwa mtu yeyote aliye makini atajua huyu bwana ana kazi moja.

Kila laheri Waberoya.
 
Siku moja nilikuwa nahubiri injili ya nyumba kwa nyumba. Nikakutana na bwana mmoja ambaye baada ya kumweleza habari za yeye kumpokea Masihi, nika-m-alert kuwa kuna jehunum ya moto! Akashtuka kidogo na baadaye akasema kwa dharau..it is OKEY nitachomwa kwa miezi kadhaa na baadaye nitazoea MOTO!!! He left and I loosed! My purpose was never accomplished!

Moyo wa binadamu una kiburi sana, inahitaji nguvu ya tofauti kuweza kugeuza imani ya mtu na mwelekeo wa mtu, wengi mmejionea jinsi ilivyo ngumu kumbadilisha mvuta sigara, is equally difficult to convince drunkard to stop drinking!

It is even difficult kumbadilisha FISADI akaacha kuiba, haihitaji matusi wala kejeli…you will never ever, never never win them…kitakachoendelea ni matusi na LENGO la kumbadilisha au ku-mconvert huyu mtu awe upande wako halitatimia!!!!

I tried to share this thought kwani pro-chadema wengi humu JF wanatia aibu na unaweza kuwahurumia kwa jinsi wanavyoweza kujipanga na kwa matusi na kejeli

I was expecting to hear Lole Gwakisa is converting to Chadema, I am eager to see W.C. Malecela is saying chadema is my home….I am not stopping INJILI YA MAGEUZI ikiwaingia wana CCMsi ajabu kuona Nape anasema naenda CHADEMA…home

But that will never happen, you can not win someone’s heart by attack, abuse and degradation etc. eventually both sides are equally self-righteous and judgmental


Msome huyu mrembo uone experience yake kwenye issue za politics uproar!


Here is an excerpt for you to read!
We’re at a turning point. We claim we want civility. But let’s be honest; what we really want is for the other side to shut up.

They’re not going to change until we do. They’re not going to start thinking bigger until we start thinking bigger.



I got to hear their unfiltered assessment of “those people.” You know, “those people” who don’t share our values, who don’t care about our country, or families or schools or God the same way we do.



It broke my heart, because I knew that their values were more alike than they were different.

I also knew there had to be a better way.

I spent the next five years studying the world’s greatest problem solvers, people like Albert Einstein, Thomas Jefferson and John Adams. I dissected conflict after conflict to identify which behaviors enabled people to solve their problems and which behaviors kept them stuck.

The result: The Triangle of Truth – a problem-solving model to rise above either/or thinking.

Based on the best practices of the world’s greatest thinkers, The Triangle of Truth is rooted in 7 core principles:

1. Embrace AND

2. Make peace with ambiguity

3. Hold space for other perspectives

4. Seek higher ground

5. Discern intent

6. Elevate others

7. Be the peace

The “I’m right so you must be wrong” paradigm isn’t working. It never did, and it never will.

There’s a critical turning point inside every conflict when the two parties either attack each other, or they attack the problem. These 7 best practices of The Triangle of Truth keep the focus on the problem.

Lisa Earle McLeod-article city; 7 Ways We The People Can Restore Civility


Go back to the title it is certainly disqualifying me what I have just taught you!!!! take it or leave it.....oh! focus on the problem, at least start to practise now, will be grading you!

I am not preacher anyway!

Hii thread inanikumbusha sana enzi za mzee Ruksa. kuna siku alikuwa akihutubia na kutoa mfano mmoja. quote

"Kulikuwa na baniani na mswahili, mswahili alikuwa akikereka sana na vitendo vya jirani yake baniani basi akaamua siku moja atoke dukuduku na kumtaka baniani watukanane nae ila hairuhusiwi ku-copy tusi la mwenzako. Baniani hakumbishia akamwambia kwa kuwa wewe una hasira nakupa fursa ya kwanza kunitukana mpaka hasira zako ziishe, basi mswahili akatumia nguvu nyingi na muda na kuanza kumtukana matusi yooote aliyoyafahamu yule baniani. Baniani akawa anamsikiliza kwa makini sana huku mtukanaji akipata hamasa kuwa leo kamshughulikia haswa baniani na kumkomoa. Baada ya muda mrefu mswahili akawa kaishiwa cha kutukana."

Baniani: " Umemaliza? na mimi nianze?"

Mswahili: "Nimemaliza"

Baniani: "Kwa kuwa siruhusiwi kurudia uliyoyasema, basi mimi nitatumia yale ambayo hukuyatamka tu"

Mswahili: "Mhhh!"

Baniani: " Hayo yooote uliyonitukana mimi, MENYEWE"


Mswahili akafura sana na kuona kuwa yaani katumia muda wote huo kujitukana mwenyewe, na hivyo akawa hajamaliza hasira zake. Ndugu yangu Eng. Burton A. Bukuku, katika post yako hii kuna point una miss, nayo ni kwamba watanzania wamechoshwa na CCM, wamechoshwa na kulindana, wamechoshwa na mgao wa umeme, wamechoshwa na umasikini, wamechoshwa na ukosefu wa ajira, wamechoshwa uchakachuaji wa matokeo ya kura, wamechoshwa na kila kitu. Hawa watu hawana kadi za CDM, ila wanaiona CDM kama alternative to CCM, kusimama hapa na uhandisi wako sijui ni wa nini hasa, Mechanical, Electrical, Civil, Chemical au wa nini hasa au ni uhandisi wa politics?, maana ndiyo unaweza kukufanya ujione kuwa umekomaa kisiasa?. Kuitetea CCM kwa sasa ni sawa na kujitukanisha mwenyewe, hautapata cha maana zaidi ya majibu ya maudhi toka kwa watu waliochoshwa nayo!. TAFAKARI!
 
kitu kimoja nachokichukia kuhusu CCM na supporters wake ni kwamba wao bado wana ule mtizamo wa CHAMA KUSHIKA HATAMU. hebu fikiria mtu anayejiita Engineer bado ana mawazo finyu namna hiii, hata hatambui mazingira yanayomzunguka, umaskini uliokithiri ukosefu wa ajira, wizi wa mali za umma, bado mtu anaona kuwa mwanachama wa chama kingine ni UMBUMBUMBU! nadhani elimu yake bado haijamkomboa, na bado mfumo wa chama kimoja umemuathiri ufikiri wake! na nadhani kingine huyu engineer ni mfaidika mkubwa wa mfumo wa sasa ndo maana anatushangaa sisi wenye uchungu na maendeleo ya hii nchi tunawapigia makelele katika ufalme wao. Engineer jaribu kusoma alama za nyakati, usiwe MBUMBUMBU wa mawazo namna hii, unaishi karne ya ngapi bwana engineer?
Asante sana Chimunguru, baada ya kusoma maelezo ya anayejiita Eng. Bukuku mtu atapata picha halisi ya nani mbumbumbu na mjinga kati ya wafuasi wa CCM na CHADEMA. Ukweli ni kwamba unahitaji kichwa cha mwendawazimu kuishabikia CCM. Labda Bukuku ni mmojawapo!
 
Aise JF kuna vichwa humu vimetulia sana,

Huyu mkulu anadhani watu hawamsomi kumbe wapi bana pamoja na janja yote kumbe hakuna kitu, wishney Eng. Burton a.k.a ............

Ahsante sana bwana kidonge!!
 
Hii Thead mbona imekaa ki-Kitchen Party zaidi, naona umeamua kufanya kazi za Mods, sina muda wa kuchangia huu upuuzi
 
Hii Thead mbona imekaa ki-Kitchen Party zaidi, naona umeamua kufanya kazi za Mods, sina muda wa kuchangia huu upuuzi

Umeshashiriki upuuzi tayari na kama ni kitchen party basi tayari ushafundwa.

Ungekuwa mwerevu kama unavyotaka kutuaminisha ungesoma halafu ukachapa lapa, lakini ulipobonyeza key board tu kuchangia basi tayari ushacheza ngoma ya wenyewe!!
 
BTW.... It is always interesting when we assume responsibilities of a million people in just a few paragraphs
 
Umeshashiriki upuuzi tayari na kama ni kitchen party basi tayari ushafundwa.

Ungekuwa mwerevu kama unavyotaka kutuaminisha ungesoma halafu ukachapa lapa, lakini ulipobonyeza key board tu kuchangia basi tayari ushacheza ngoma ya wenyewe!!

au labda RITZ ni id nyingine ya mkulu wabelo....
 
Back
Top Bottom