Prizenta wa kibongo kuigana

Unga wa Kitarasa

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
398
99
baraa bara kabisa wapenzi wasomaji wa ujumbe huu embu naomba mnifahamishe inakuwaje unakuta prizenta wa ki tz wanapokuwa wanaigana kutangaza yaani mpaka inakuwa ina boa coz unakuta umefungua redio hii utafikiri ndo hile uliyokuwa unasikiliza awali yaani kwa kama huku niliko ndo usiseme.., embu tupieni ma advaisi yenu zen tuwashauri madogo hawa wanao kurupuka tuu kutangaza...
 
Weka mifano kusapoti maneno yako,kama prezenta nani?

Ngoja nimsaidie mtoa hoja, kwa mfano Fransis Raymond wa Ebony Fm(iringa) anamwiga sana Masoud Kipanya aliyekua clouds fm then maisha plus na sasa times fm.
 
Ngoja nimsaidie mtoa hoja, kwa mfano Fransis Raymond wa Ebony Fm(iringa) anamwiga sana Masoud Kipanya aliyekua clouds fm then maisha plus na sasa times fm.

Ebony fm??
 
Back
Top Bottom