Prison Break SEASON 6

Mkimbizi

JF-Expert Member
Aug 23, 2008
222
34
Wanajamii wenzangu, ingawa hili linaonekana si la maana sana ila napenda kushare nanyi:
Kwa wale wanaoangalia series ya PRISON BREAK ETC
Nimeona sehemu nyingi kwenye bars, wanaouza movie wana SEASON 6 YA PRISON BREAK, Huu ni uongo na unanikera sana. SASA prison break iko SEASON 4 EPISON 13(Jumatatu hii, 1st Dec).

Hata hizo CDs zao ukichukua unakuta ni season 4 episodes fulani.(kama episodes sita hivi). SASA HUKU SI KUDANGANYANA??

Nakerwa sana na hao wanaozitengeneza na kutuuzia kwa kutufanya sisi WADANGANYIKA WAPUUZI, TUMECHOKA!! Kama mnauza andikeni tu SEASON 4, tutanunua!!! INANIKERA SANA
 
Yes Indeed! Zimetoka China nini?
Well kule sehemu ya Burudani kuna kona nzuri ya Prison Break... Fuata link hii ukajumike na wapenzi wa Tamthilia hiyo..
 
Wanajamii wenzangu, ingawa hili linaonekana si la maana sana ila napenda kushare nanyi:
Kwa wale wanaoangalia series ya PRISON BREAK ETC
Nimeona sehemu nyingi kwenye bars, wanaouza movie wana SEASON 6 YA PRISON BREAK, Huu ni uongo na unanikera sana. SASA prison break iko SEASON 4 EPISON 13(Jumatatu hii, 1st Dec).

Hata hizo CDs zao ukichukua unakuta ni season 4 episodes fulani.(kama episodes sita hivi). SASA HUKU SI KUDANGANYANA??

Nakerwa sana na hao wanaozitengeneza na kutuuzia kwa kutufanya sisi WADANGANYIKA WAPUUZI, TUMECHOKA!! Kama mnauza andikeni tu SEASON 4, tutanunua!!! INANIKERA SANA

prison break season 6?
bado haijatoka mkuu hizi ni fake za kichina,
sasa hivi hipo season 4 na mpaka sasa imefikia episode 13 ambayo imetoka jumatatu hiliyopita.

wanacho fanya wachina hapa wanachukua episode 6 za mwanzo ndio wana sema ni season 5 or 6,punde tu utakutana na season 7 next week tu.
unaweza kupata episode 1 mpaka ya 13 kwenye hii link hapa na kila jumanne wanashusha episode mpyaXTVi - Free TV Show torrent download - no registration required!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom