Printer za mahakama zashindwa kutoa hukumu ya Lema

Hivi sheria za kesi za namna hii hazina kipengele kinachoilazimisha mahakama kutoa kopi ya hukumu? Ni lazima si si lazima? Kama ni wajibu wa mahakama kutoa kopi hiyo, ni muda gani?

Ikiwa si lazima na/au sheria haisemi chochote kuhusu hilo, basi hili ni bao la kisigino, CDM ijipange kulirejesha jimbo kupitia uchaguzi.

Ikiwa ni lazima na kuna muda uliowekwa kwa mahakama kutoa kopi hiyo, hapa kuna kesi ndani ya kesi. CDM ifungue kesi mpya kuishtaki mahakama.

Wazo binafsi linalowakilisha wengi - Nchi hii inaogozwa kijombajomba.

Ni wajibu, ni lazima na ni haki.
 
Lakini hiyo siyo brewking news mkuu. Utata wa nakala ya hukumu ya G. Lema nadhani unafika mwisho. Kwani mtu anaweza kukata rufaa kabla hajapewa nakala ya hukumu?

losambo, kisheria after hukumu kuna siku kumi na nne za kuonyesha nia ya kukata rufaa. baada ya hapo inatakiwa mkata rufani upate nakala halisi ya hukumu ili ujue jaji\hakimu alitumia grounds gani ili ukate rufaa as per grounds unaozoona jaji alikosea. watabanaaa mwisho wataitoa hiyo doc.
 
Wanajamvi hebu nisaidieni hli swali kwa kuchagua jibu sahihi.

Hukumu ya kesi ya uchaguzi iliyomvua ubunge Godbless Lema wiki mbili iliyopita hadi sasa nakala yake imeshindwa kutolewa, sababu hasa ni ipi?
a) Printer ni mbovu
b) Jaji amepata kigugumizi kwa dhambi aliyoifanya
c) Rushwa inahitajika ili kutoa nakala
d) Mahakama imechanganyikiwa kwa maombi ya kufunga ya Lema
e) (b) na (d) ni sahihi.

Jibu la hilo swali halipo hapo. Ni kwamba USB (Universal Serial Bus) cable ya printer ilipata aksidenti ya ajali, na serikali imeagiza kutoka china lakini DHL wanasema hakuna delivery bila physical address kwa sababu mahakama imetumia mfumo wa P.O. BOX.
Kazi kweli.
 
Back
Top Bottom