Principle: All Tanzanians should pay income TAX!

Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,694
787
Ndugu zangu,

Isharaha ya Uzalendo wetu iwe ni KULIPA KODI YA MAPATO... na kila asiyelipa kodi tumwone kama si mwenzetu regardless ya cheo chake.

There must not be a zero rate kwenye kodi ya mapato... kila mmoja alipe hata kama ni shilling elfu moja kwa mwaka....kulingana na uwezo wake, it should be a principle... in fact natamani ingekuwa kwenye katiba... rates may be different but everybody must pay...

Hili likitokea utashuhudia a true peoples power as citizen will DEMAND social services and not request a.k.a tunaomba huduma za jamii.
 
Ndio, wabunge na Rais hawalipi Kodi!! Lakini wa Marekani tunakoenda kudoea misaada wanalipa!! Waalimu, manesi na askari wanaopata mshahara mdogo sana ukilinganisha na wabunge na Rais wao wanatakiwa kulipa kodi!! Mimi hii bado siielewi...haiendani kabisa na basic principles za a good tax system.

Wabunge wetu vijana...tunataka watutatulie hii puzzle huko bungeni.....
 
Naona suala la leading by example halijawaingia akilini.
So wananchi wakilalamika kuwa income TAX ni kubwa hawawezi ata kutuelewa mpaka watakapoanza kukatwa wao
 
Ndugu zangu,

Isharaha ya Uzalendo wetu iwe ni KULIPA KODI YA MAPATO... na kila asiyelipa kodi tumwone kama si mwenzetu regardless ya cheo chake.

There must not be a zero rate kwenye kodi ya mapato... kila mmoja alipe hata kama ni shilling elfu moja kwa mwaka....kulingana na uwezo wake, it should be a principle... in fact natamani ingekuwa kwenye katiba... rates may be different but everybody must pay...

Hili likitokea utashuhudia a true peoples power as citizen will DEMAND social services and not request a.k.a tunaomba huduma za jamii.

kweli kabisa ila nahisi wabunge mawaziri wanatakiwa kuonyesha mfano wa Kuheshimu na kuthamini kuwa KODI ndio uhai wa serikali yao

  • Mishaahara wao.

  • Kuna mapato wanapata kwenye kamati mbali mbali walizopo

  • Kila siku Dodoma wanalipwa Posho.
  • Wabunge mawaziri etc ni wajumbe wa bodi mbali mbali wanacholipwa huko hakikatwi kodi.
Otherwise Nakuunga mkono
 
Mkubwa OP, hili ni pendekezo zuri sana ila kuna matatizo manne makubwa katika kulifanyia kazi;

1) Katiba na sheria zinazowalinda watawala wetu kutokulipa kodi kwenye baadhi ya mapato yao na kwa mheshimiwa rais, mshahara wake. Sheria hizi hizi pia zinasaidia wajanja kukwepa kodi kwa kucheza na vitabu vyao vya mahesabu.

2) Mfumo wa kodi uliopitwa na wakati, wenye viwango vionevu vya kodi na usiotoa motisha kwa malipo ya hiyari.

3) Urasimishaji wa ajira. Wafanyakazi wote walio katika ajira zinazotambulika kama rasmi wanakatwa kodi ya mapato ila tatizo ni kwamba hawa ni chini ya 10 ya wafanyakazi wote nchini.

4) Uwajibikaji wa serikali katika matumizi yake
 
Ndugu zangu,

Isharaha ya Uzalendo wetu iwe ni KULIPA KODI YA MAPATO... na kila asiyelipa kodi tumwone kama si mwenzetu regardless ya cheo chake.

There must not be a zero rate kwenye kodi ya mapato... kila mmoja alipe hata kama ni shilling elfu moja kwa mwaka....kulingana na uwezo wake, it should be a principle... in fact natamani ingekuwa kwenye katiba... rates may be different but everybody must pay...

Hili likitokea utashuhudia a true peoples power as citizen will DEMAND social services and not request a.k.a tunaomba huduma za jamii.

A very good point.

Mkuu mimi napendekeza iwepo requirement kwenye form za kuombea uongozi (udiwani, ubunge na urais) kwamba mgombea aambatanishe a clean tax card kutoka TRA. Watz wengi hawalipii kodi inayostahili kuna under declaration nyingi tu ama wengine hawalipi kabisa. Si ajabu ukakuta mtu kawa mbunge halafu huwa halipi kodi. Kwa maoni yangu mtu asiyelipa kodi hafai kuwa kiongozi.
 
Income tax ni kodi ya Uonevu. I dont want to PAY NO DAMN, TAXES. SAY NO TO ANY TAX.
 
Tena kwa iyo 12 million kwa mwezi ukiipiga kodi anaweza katwa mpaka 2mil ndo watatia akili
 
Back
Top Bottom