Prince William kabebwa

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
Hapa ni katika ziara yake huko sehemu za Tuvalu (baada ya picha za skendo za bwa´mdogo wake kuzagaa mtandaoni). Akija bongo ebu na sisi tujaribu kufanya ukarimu kama hao jamaa ili tupate wawekezaji zaidi. Nadhani habari imefika. Ni hayo tu!

6236_244198562369122_1014335603_n.jpg
 
Msishangae sana jamani,ni njaa tu ndiyo inawasumbua hawa watu.Ukiangalia kwenye wikipedia visiwa vya Tuvalu ndiyo vinashika mkia duniani kwa uchumi bora!Jamaa wanashindia madafu na nazi tu.
 
Wapeleke Umwinyi wao huko huko,
Uchumi utupige mweleka,
Nao pia watupige mweleka.
Hakuna hyo Makitu.
 
...... sie waafrika bwana, hatuwezi kuendelea bila wazungu kuamua hivo. du!
 
mimi naamini duniani tunapambana na kongopeana misikitini na makanisani kuhusu shetani, wakati kumbe shetani tumtafutaye ni mzungu.hawa sio watu hawa.
 
Back
Top Bottom