Prince Waleed bin Talal awasili Tanzania

wimbi la mbele

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
647
266
Kama alivokuja Prince Charles, Prince Waleed bin Talal naye yuko Tanzania kwa ziara siku moja:
p30.jpg

Presdent Jakaya Kikwete and his guest HRH Prince Alwaleed Bin Talal Bin Abdulaziz Alsaud, Chairman of Kingdom Holding Company (KHC), and their wives listen to the Chairman of Board of Directors of the Wanawake na Maendeleo (WAMA) organisation, Dr Ramadhani Dau, as he thanks HRH Prince Alwaleed for his pledge to help WAMA in the organisation's efforts to developing Nakayama Girl's High School in Rufiji, Coast region

DG naona anawasemesha kama wanafunzi wake vile...tazama walivyojipanga....

Tazama wanavyomsikiliza kwa makini utafkiri wanataka kupewa ripoti ya maendeleo hehehehehe
 
hawa maprince wanatafuta nini hapa kwetu. tuwe macho na wanyama wetu
 
Mh! Huyo mke wa Prince alivyovaa! Jamani, isije kuwa huku uswahilini tunadanganywa na hao waliotuletea imani zao? Huyu si alitakiwa awe mfano bora? Sasa nimeamini kila jambo pima mwenyewe na changanya na zako vinginevyo wengine tutaishia kufia dini wakati wenyewe wanatumbua kwa raha zao!
 
jamani tukae chonjo.hawa wageni hawajaja kwa mema.wameona tanzania imekua pango la walanguzi na wanyang'anyi.utasikia rais kawagawia ardhi na wanyama waje wawinde wakati wazawa tunabaniwa hata kitoweo.mia
 
amekuja kukabidhi hoteli yake ya Movenpick aliyomuuzia Aga khan................ dili limeshakamilika na siku yoyote jina la Movenpick litaondoka na jina la Serena litachukua nafasi..................
 
jamani tukae chonjo.hawa wageni hawajaja kwa mema.wameona tanzania imekua pango la walanguzi na wanyang'anyi.utasikia rais kawagawia ardhi na wanyama waje wawinde wakati wazawa tunabaniwa hata kitoweo.mia

thats true man....mia
 
This is very interesting! I hope tunajua tunachofanya na hawa princes.
Ila Dau zile pete vidoleni ndo zinamaanisha nini? Idadi ya wake aliooa?
 
Vipi kaja na visuti vingine? Naona mkuu wa kaya katinga kamojawapo ya vile visuti vya mwarabu!
 
Mh! Huyo mke wa Prince alivyovaa! Jamani, isije kuwa huku uswahilini tunadanganywa na hao waliotuletea imani zao? Huyu si alitakiwa awe mfano bora? Sasa nimeamini kila jambo pima mwenyewe na changanya na zako vinginevyo wengine tutaishia kufia dini wakati wenyewe wanatumbua kwa raha zao!

mkuu sio kila mwarabu mwislamu,na sio kila muislamu muumini wa kweli.huyu prince walid ni msaudi lkn hayupo kwenye serikali na nimfanya biashara.naona ni tajiri wa 15 duniani.jamaa anaitwa mwislamu poa.yaani mwislamu jina.
 
Kingdom Holding ndiyo mmiliki wa hoteli inayojulikana kama Movernpick; Movernpick wenywenye ni kampuni ya Ki-Swiss inayoendesha tu Hotel.
 
mkuu sio kila mwarabu mwislamu,na sio kila muislamu muumini wa kweli.huyu prince walid ni msaudi lkn hayupo kwenye serikali na nimfanya biashara.naona ni tajiri wa 15 duniani.jamaa anaitwa mwislamu poa.yaani mwislamu jina.

Mkuu nimekusoma vizuri. Unless anatumia "Prince" kama sehemu ya jina lake ila kama ni "cheo/heshima" basi pamoja na kwamba ni mfanya biashara lakini kwa vyovyote atakuwa ametokana na ukoo wa kifalme wa Saudia. Nijuavyo mimi ukoo wa Kifalme wa Saudia unadhaniwa kuwa katika mtiririko wa kizazi cha Mtume na hivyo kuwa mfano bora wa maisha na mafundisho ya kiislamu ikiwemo mavazi kwa wanawake.
 
mkuu subiri nikupe historia fupi. mtume ni wa makkah na eneo la warabu wa hijaz ambae ni west na north kidogo ya saudia ya leo.kabila la wasaudi ni wa riyadh yaani warabu wa katikati ya saudia,riyadh ulikuwa ni mji mdogo wa mabedui.riyadh wana damu sana ya kiyemen,wayemen wengi walipotoroka yemen sababu za mafuriko wakaenda kaskazini na kuanzisha huo mji.inasemekana walikuwa wayemen wa kiyahudi kutoka na wao kukosa dola yao ya kiyahudi yemen kwa muda ule.

kabila la wasaudi halina unasaba na kabila la mtume kabisa usipokuwa kwa damu ya yemen.

ismail (chotara wa kiyahudi na misri) babu wa mtume alio myemen na kuzaa kizazi cha quraish,na kutengeza mji wa makkah lkn hawana uhusiano wowote na mtume.

hope umenipata.
 
Maelezo yako mazuri isipokuwa hapo kwenye red kumeondoa ladha nzima ya maelezo yako "inasemekana"

hizi ni story zinazo sambaa kwa oral.na kama unavojua kwakisomi huwezi kuweke kitu 100 kwa hakija fanyiwa uchunguzi wa nguvu.huwezi kwanza kuenda riyadha na kuanza kupima watu damu na tena kwenda yemen kupima damu uone wanaundugu au vp.

nitafuta hadithi moja inaoesha wazi kizazi cha warabu kwa asilimia kubwa ni wayemen wote.hakuna mwarabu kwenye kisiwa cha warabu ambaye hana damu ya yemen. sio warabu feki wa misri au libya algeria tunisia.
 
Back
Top Bottom