Prime time promotion hongeren sana ila kwa hili mnachemsha!!

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Dear br joe
kwanza hongera sana sana kwa kuingia mikataba yenye akili na kupata opportunity zaidi za kufanya mampo mengi nje ya mambo ya media
nimewiwa kusema hili kwanza nawapongeza kwa advertisement na kweli mmedhamiria na naamini ifike waakti sasa hata ligi yetu ya ligikuu mismamie nyie

kuhusu hili la kuingia geti namba fulani naona amko sawa ..nimewiwa kusema hivi maana hata tunapoenda kuingia ndani tunaenda kukutana na baadhi ya wenye tkt ambao mmetutofautisha nao ..sasa sijaelewa dhumuni halisi ukiachwa wa vip a/b hao wengine unawatesa naomba uwaache waingie na mbaya zaidi mmeonyesha dharau kwenye matangazo yenu hasa mh kibonde akitangaza mageti yanayotumika like if wanaolipa bei ndogooooooo awafai kabisaaaaa kwenye mechi hizo
naomba nikuweke wazi imefika wakati wa kutangaza mageti wanadai waleeeeee waaaaa alf......kuleeeee geti la chuo cha ufundiiiiii yaaaaaaani kuleeeeeeeeeee wananza kuulizana na kuanza kujibisahana kama wapuzi oooh m nina ya vip c ooh m vip b...nahisi usitutenganishe else tutaanza kukutenga kupitia sehemu zingine kakaka

naomba muheshimu kiingiliao cha 5000 ni wengi wanakuja akulipa hao vip mnaowatangaza

ahasante naamini unaweza kugeuza misimamo yenu ya kutetutenga magetini na kibonde na wenzako mkome kabisa mkome kupewa tenda ya kuuza tkt sio muanze kudharau watu hata kidogo
 
Back
Top Bottom