Prime low density plots in Mbweni-DSM

Nimepata info za kutosha ndio maana nikaleta maada mkuu, sina tabia ya kukurupuka maana najiamini na kazi yangu, I am more than a dalali, I am a trained and graduate Land economist, Due diligence ndo mahala pake!

Kutaja bei ama kutotaja hayo ni matakwa ya muuzaji, kama muuzaji hataki property yake iwe displayed in terms of image na price, I have to dance the tune! I am just a broker!

Hii lugha ya madalali tushaizoea. Kukamuana kwa kishindo sio kitu musuri!
 
Nimepata info za kutosha ndio maana nikaleta maada mkuu, sina tabia ya kukurupuka maana najiamini na kazi yangu, I am more than a dalali, I am a trained and graduate Land economist, Due diligence ndo mahala pake!

Kutaja bei ama kutotaja hayo ni matakwa ya muuzaji, kama muuzaji hataki property yake iwe displayed in terms of image na price, I have to dance the tune! I am just a broker!

Mchango wako ni mzuri mkuu but inabidi ufunguke, mji unakuwa ni si kila mtu anafanya kazi city centre!

unawezanunua property either kwa kuoccupy mwenyewe ama for investment purpose! Kama unaishi nyumba ya kupanga, unaweza pia wajengea wengine na wewe ukawa Landlord/Landlady.

Kuhusiana na infrastructure, kuna project ipo jirani (bahari beach town project) ambao wataweka ferry terminal to city centre tembelea hapa Bahari Beach Project Main Page

serikali pia inajenga satelite town kibao likiwemo eneo la bunju!

Karibu mkuu!
Asante kwa hiyo link.

ipiltd.com noma, wameweka kwenye net document ya pdf yenye ukubwa wa 168MB? Document yenyewe ni page moja tu, duh!
 
Hii ni sehemu ya hiyo document,

attachment.php
 
Attachments

  • Ununio - Kunduchi v2.JPG
    Ununio - Kunduchi v2.JPG
    287.6 KB · Views: 184
Kutaja bei ama kutotaja hayo ni matakwa ya muuzaji, kama muuzaji hataki property yake iwe displayed in terms of image na price, I have to dance the tune! I am just a broker!

kama ataki kutaja bei toa tangazo lako na mwambie aache kuiuza hiyo nyumba
hamna mtu atakaye nunua nyumba bila price, nakushangaa alafu unatamba umesomea na kuandika pumba kiasi hichi
nyumba ikiwa inauzwa lazima iwe na bei, kama yeye ataki kusema bei yake ni sawa sawa na hataki kuuza, au nyie ndio wale unamwangalia mtu amekuja na gari gani ndio unapanga bei.......

lazima uwe na masharti ya biashara moja wapo ni bei, na ki ukweli kabisa wewe ni part of the problem kwa ajili unajua bei na umeiweka kapuni
 
Duh bei maelewano?
Hapo kuna 10% ya dalali weka bei hapa na si wengine ni madalali kwa rafiki zetu kama wanataka si unamtajia bei....sasa ukimwambia bei maelewano duh!
 
Nashukuru kwa kunitukana mkuu, uwanja ni wako!
 
Duh bei maelewano?
Hapo kuna 10% ya dalali weka bei hapa na si wengine ni madalali kwa rafiki zetu kama wanataka si unamtajia bei....sasa ukimwambia bei maelewano duh!

Nimetoa namba ya simu na bado unawezakuni-PM, tatizo liko wapi mkuu?
 
Tatizo ni kuwa mtu hawezi kukupigia simu wakati hajui bei ..ni kupoteza muda na cost za simu. Mkuu, bei ya kuanzia ingetusadia sana na tangazo lako liwe wazi hapa jamvini.

Kutaja bei ama kutotaja hayo ni matakwa ya muuzaji, kama muuzaji hataki property yake iwe displayed in terms of image na price, I have to dance the tune! I am just a broker!

Basi hakuna haja ya kutangaza kama hujui bei!! Unauza kitu ambacho hujui bei yake? Sijawahi kusikia hii!!

Kama ni kweli basi naona mnada ungesaidia!!
 
Last edited:
Prime low density plots ni vitabuni tu. Hata Sinza kulikuwa na prime low density plots lakini angalia kulivyo.
 
Back
Top Bottom