Primary school!! Ilikuwa burudani kwangu

Unakumbuka ile staili ya kutupa vioo chini karibu na wasichana kusudi uone chupi au nani......?!
 
Hivi hiki kizazi cha dot.com wana haya mambo? au wenyewe saiz ni kuuza nyago tu huko Facebook?
<br />
<br />
si kizazi cha dotcom, sasahivi ni kizazi cha facebook.
 
enzi hizo mwalimu wetu wa Hisabati, alikuwa anatuvalisha vifuniko vya soda shingoni, mpaka utakapo pata 'vema' tano kwenye daftari lako ndio unatoa.
Mzigo wa vifuniko mia, bonge la cheni...
Mpaka nikaweza hisabati.
Dah! Long tyme!
 
wewe lazima umesoma primary moja dodoma mie nakumbuka tulikuwa tunavaa magauni ndani kiblauzi sasa wakati wa joto mchana tulikuwa tunatoa viblauzi siku moja nikainama nyonyo nje mwanaume mmoja acha aing'ang'anie siku hiyo nililia nikampeleka kwa teacher mwanaume yule namkumbuka jina mpaka leo sijui yuko wapi mshenzi yule.




ha ha ha ha ha mwe mweh, alikua kama anakamua ng'ombe?? huwezi kumsahau... hapana chezeah ile kitu
 
nakumbuka siku za usafi zilikuwa jumatatu na alhamisi, kiranja pamoja na mwlm wa zamu walikuwa wanapita kukagua usafi. wanaangalia nywele, meno, uniform, sox viatu na makucha. Wakati niko darasa la sita shule ya msingi Gedeli Nyakato Mza, darasa letu lilikuwa na madirisha makubwa kama milango. Tulikuwa tumeweka watu spesho wa kuangalia ni mwalimu yupi anakuja, kama ni mkali na mtu hajaandika notisi basi ataruka dirisha na kujificha vichakani mpaka mwalimu amalize somo.
Nimemaliza la saba hapo 1997. wewe ulimaliza lini? Unaweza kuni-pm?
 
Primary we acha tu. Mambo ya balehe kuwahi bana we acha tu. Nilikuwa na rafik zangu fredric a.k.a kitolie,frenk,aloyce a.k.a mapaluu,na leaonard ngoma ndan ya Mwereni p.school moshi rau mika ya 90's. Tukiwa darasa la sita ndio balehe zinaanza kwa mbali kulikuwa na huyo dogo anaitwa Leonard ye alikuwa mkubwa kuliko sis kwan alichelewa kuanza shule,bas akawa anaturingishia ye ni mtu mzima ana uwezo wa kumpa msichana mimba, tukawa tunabishana.

Siku ya kwanza akatuambia tuende nyuma ya choo cha wavulana, akatuonyeshe mavuzi, bas tulipoyana tulishangaa kweli, tukataman nas yaote mapema. Day nyingine tumetoka kusoma soma la sayansi ticha akiwa mlm Mbezi, topic kuzaliana kwa viumbe jamaa akatueleza anauwezo wa kuzalisha mwanamke akatubeba mpaka uwanjan, tukakaa tumemzunguka kijana.

Akatoa ndude yake akaanza kuikamua enzi hizo hatujui puli ni nini, basi zikatoka manii, dah huwez amin tukamwambia hebu tunuse tusikie zinanukaje, basi akazishika mkononi akatupitishia puani kila mmoja na kunusa. Basi tangu hapo tukawa tunamheshim kweli kweli kuwa ni mbaba.

Huwez amin huyu dogo leonard hiv sas ni mchungaji kanisa moja la kilokole dar, ila huyo Frenk nasikia kawa shoga wana mla kiboga pale mbuyun sokoni..
 
Nakumbuka primary school siku inapotangazwa surprise ya ukaguzi wa mizuka ilikuwa ni hekaheka jinsi wanafunzi tulivyokuwa tunahangaika kuweka mambo sawa kabla hayajawa mabaya!
 
mi nakumbuka ukiwa na nywele kubwa mwalimu anazikata kwa mkasi mbaya zaidi anaweka kipara au msalaba kichwani alafu anasema kesho uje umenyoa nywele zote. mi sitamsahau mwl ndekao huyu alikuwa mnoko mno kwa kuweka watu vipara na misalaba ktk shule ya Tuvaila huko Arusha
 
Mkuu umenikumbusha kibao nilichozabuliwa na mwalimu baada ya kumuwekea kioo dent wa kike na akaenda kunishitaki kwa mwalimu
Unakumbuka ile staili ya kutupa vioo chini karibu na wasichana kusudi uone chupi au nani......?!
<br />
<br />
 
Enzi za primary , huruma p/s Rombo tukiwa drs la tano tulipangiwa eneo la kufagia na ilikuwa ni barabara kuu ya kuingi a shulen.bas kulikuwa na ticha mmoja wa Btp(field)alikuwa bomba kweli, akatufundisha topiki ya sehemu za ua na uchavushaji wake,akatufundisha sehemu za ua kama kikonyo,sepali,petali,na stigima, bas kesho yake asubuh alipokuwa anaingia shulen kupita brbr kuu tuliyokuwa tunafagia kaupepo kakapita sket aliyovaa ikapepea na kumwacha waz kidogo,dogo mmoja (pius) akadakia STIGIMA IMEINGIA HEWA.bahat mbaya sana ticha aliisikia hii tukaitwa wote ofisin akatukabith kwa mnoko mmoja ticha jungle boy(shirima) tukagoma kutaja ni nan,tulichezea fimbo sitakaa nisahau,toka hapo nikaichukia ile shule had nilipohama..
 
wewe lazima umesoma primary moja dodoma mie nakumbuka tulikuwa tunavaa magauni ndani kiblauzi sasa wakati wa joto mchana tulikuwa tunatoa viblauzi siku moja nikainama nyonyo nje mwanaume mmoja acha aing'ang'anie siku hiyo nililia nikampeleka kwa teacher mwanaume yule namkumbuka jina mpaka leo sijui yuko wapi mshenzi yule.
Una hitaji kukutana nae?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom