Natty Bongoman
JF-Expert Member
- Oct 10, 2008
- 403
- 191
Leo ni sikukuu moyoni mwangu...
Ningependa kuiomba jumuia ya hapa kutoanza upuuzi wa kikabila, na na kutambatamba ati huyu ni wetu nk Tafadhali tuikumbuke hii siku kuwa ya muungano wa dunia, muungano wa waAfrika, muungano wetu. Pia tuikumbuke hii siku kuwa siku ya 'kujiamini na kuamini kipaji chako'. Kumbukeni Raisi Obama alijiamini, aliamini atashinda hata vile wengi walivomuambia hutashinda... mweusi hatashinda... ngoja kidogo, nk JIAMINI.
La mwisho, kumbukeni Obama ana DNA za dunia - Afrika, Marekani, Ulaya na Asia. Ameshinda uraisi kwa sababu waMarekani weupe na weusi wamejua anawawakilisha. Ushindi wake umesherehekewa duniani kwa sababu wamegundua kuwa ana DNA zinazowakilisha dunia.
Get together Afrikans. Get together World citizens.
hapo chini nakuleteeni historia (kurasa saba zitakazojifungua) ambayo itakupasha kuwa Raisi wa kwanza wa Marekani hakuwa Washington, alikuwa mweusi (John Hanson). Afu baada ya constitution inayotumiwa leo kuandikwa, basi Washington alikuwa raisi, na ndo yeye anajulikana kuwa raisi wa kwanza na Raisi Obama atajulikana kuwa raisi mweusi wa kwanza.