Previously on Suits.

Mkuu inahusu mambo ya sheria . Bonge la series. Kuna mwanasheria mmoja ajasoma sheria, amefoji cheti.

Vizuri mno.
Yani kwenye ile series kila mtu ni sterling kwa nafasi yake.
Hadi leo nimeshindwa kujua main character ni nani.
Nampenda kila mtu kwenye ile series.
Makavu ya Harvey.
Upuuzi wa Litt
Loyality ya Donna
Caring ya Rachel.
Super & strong woman Jessica.
Ujanja wa Mike.
 
Vizuri mno.
Yani kwenye ile series kila mtu ni sterling kwa nafasi yake.
Hadi leo nimeshindwa kujua main character ni nani.
Nampenda kila mtu kwenye ile series.
Makavu ya Harvey.
Upuuzi wa Litt
Loyality ya Donna
Caring ya Rachel.
Super & strong woman Jessica.
Ujanja wa Mike.
main character ni mike. Acha tu, kila mtu ametendea haki nafasi yake bongo sijui lini watafikia level hiyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom