Preta Trans

Ile isuzu journey umeipeleka wapi na ile dcm lako?

Isuzu linabeba ndizi kupeleka sokoni kule mndenyi........
DCM linafanya safari za sokoni-mlimani huko huko mndenyi....
haya tunayoyazungumzia hapa ni mambo ya huku mjini....

Nitaomba kazi ya u-traffic kwenye hii airline!. Kwani nina experience na uzoefu wa mda mrefu kwenye hii shughuli!.
 
na maharage mabichi
bado maziwa

majani ya ng'ombe nayo

Isuzu linabeba ndizi kupeleka sokoni kule mndenyi........
DCM linafanya safari za sokoni-mlimani huko huko mndenyi....
haya tunayoyazungumzia hapa ni mambo ya huku mjini....

Back
Top Bottom