Huo ni mkoko wa Preta?
That's Cool mjasiriamali wangu..
Investment huwa inaanza hivyo...mwishowe tutasikia anamiliki reli ya Kati na bandari ya Daslam
Umesomeka Preta
Dah safi sanahaaah haaah halafu katupia zab. 23 Bwana ndie mchungaji wangu.......
Pretaaaaaa Big up mama!
Dah safi sana
ha ha ha....mkuu...niko njiani kwenda Boeing.....kuweka order.....
Salama kabisa. Umeamka salama huko?????Habari yako bwana b52.?
ha ha ha....mkuu...niko njiani kwenda Boeing.....kuweka order.....