Preta, Preta, Preta.

Kumbe Preta yuko bomba enhe? Ngoja ni m-PM nitupe karata yangu huenda nkafanikiwa wakati wewe unasuasua.
 
Yani mi ndiyo kabisa roho inaelea elea kisa preta tena najua yupo arusha tutafutane basi
 
pliz Madam Preta msikize mwenzo,pl!!!

Preta kokote ulipo tunaomba uwasiliane na huyu kijana.

Kumbe Preta yuko bomba enhe? Ngoja ni m-PM nitupe karata yangu huenda nkafanikiwa wakati wewe unasuasua.

Yani mi ndiyo kabisa roho inaelea elea kisa preta tena najua yupo arusha tutafutane basi

aspen unasemaje? Ebu usinitafutie ban. . .

uwiiiiii.....mweee mwee.......
 
Jamani Preta ni wangu untill further notice, mchakato nimesha uanza. Though bado natafuta courage ya kuvunjia ukimya kwa udhamini ya watu wa Marekani.
 
mbona sasa husemi kama umeiona.....nishakutumia.....
halafu nimekukosa sana ujue........

he he he hee tuma kama ilivyo bana, kuna mahali umefuta maneno..

Nadhani nimekukosa zaidi aisee..
 
,..ngoja na mm nianze kupitia pitia maprofail ya membaz,na hiki kibaridi kinahucka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom