preta na michelle

kwsbb ulinikataa ulipotaka mbegu ya kizungu nikakwambia ni mzungu wa mashamba ya miwa mtibwa_nina miaka ming huku

ha ha ha ha!
Jamani ndio unanilipizia kwa kunichafua jina. Lol!
Mungu wetu mwenye upendo akusamehe.
 
sijamind jamani.
Nimeshangaa tu.
Upo Mzima wewe?

Asante mzima kabisa mungu anasaidia.... ila am sure am not wide of the mark...... Ucheshi, na tabasamu... na hii sio power of mind from your posts unaonekana ni mcheshi na mtu mcheshi hakosi tabasamu.. na hakuna tabasamu baya... na wanawake wote ni visura hakuna mwanamke mbaya....
 
Asante mzima kabisa mungu anasaidia.... ila am sure am not wide of the mark...... Ucheshi, na tabasamu... na hii sio power of mind from your posts unaonekana ni mcheshi na mtu mcheshi hakosi tabasamu.. na hakuna tabasamu baya... na wanawake wote ni visura hakuna mwanamke mbaya....

kweli ingawa wengine wakitabasamu kama wanalia.
I smile mara laki tisa per day (joke).
Nasmile hadi usingizini(seriouse)
na hivi ninavyoandika nasmile.
 
wote hao wahusika uliwataja hapo juu..
mmmmhhh itabidi nikupigie nikupe story..
wote ni super kwa kweli...

hata siku moja usije jaji mtu ajili ya avatar ''
take care
AD

mama na wewe umeshakuwa VUVUZELA lini? waache wagombane, wewe si ndo KISURA kuliko wote? Usimwamshe alielala basi..
 
wewe twenzetu Zenji tukale maraha ubishi wa nini mimi na wewehatuuwezi...

haya tena mie ndo huyo na kitoa
bada basi kembamba changu..
nakuita hivyo sababu unataka jimama ..
tena yule yaliozidia kwa nyuma hadi anamtu anaemsaidia kusukuma kwenye troli hahahh lol
kibinda nkoe/
baadae mtu wangu..take care
 
haya tena mie ndo huyo na kitoa
bada basi kembamba changu..
nakuita hivyo sababu unataka jimama ..
tena yule yaliozidia kwa nyuma hadi anamtu anaemsaidia kusukuma kwenye troli hahahh lol
kibinda nkoe/
baadae mtu wangu..take care


Hamna shuruba mtu wangu....Nataka Jimama si unajua tena mtu wangu, halafu usiite Jimama unashusha hadhi tunaita VIDIGITAL siku hizi
 
unajua tangu ni join jamvini nimekuwa bush na ni-browse kwa handet ambayo ki-ukweli capacity yake ni ndogo kuweza kuona Avatar za wana jf na hivyo mim nilikuwa nimejijengea Avatar zangu mwenyewe za kisaikolojia ambazo kwa kweli baada ya ku-browse kwny moderm nimekuja kuona utofauti mkubwa sana. kwamfano kutokana na Preta kujishebedua sana na mwarabu wake nilijua ndo Kisura wa Jf yeye na Husnyo-kumbe bwana kisura ni Michelle:smiling:. nilikuwa kama story ile ya kipofu na kuku-nadhani wengi mnaikumbuka(kipofu alipobahatika siku moja kuona kwa sekunde alifanikiwa kumuona jogoo-basi akiambiwa hili ni ghorofa, anauliza eti ni kubwa kuliko jogoo)-nilikuwa kipofu kabisa-am enjoying to see your Avatar
UNA MAKENGEZA?:baby:
 
Back
Top Bottom