preta na michelle

tunalazimika

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
1,098
256
unajua tangu ni join jamvini nimekuwa bush na ni-browse kwa handet ambayo ki-ukweli capacity yake ni ndogo kuweza kuona Avatar za wana jf na hivyo mim nilikuwa nimejijengea Avatar zangu mwenyewe za kisaikolojia ambazo kwa kweli baada ya ku-browse kwny moderm nimekuja kuona utofauti mkubwa sana. kwamfano kutokana na Preta kujishebedua sana na mwarabu wake nilijua ndo Kisura wa Jf yeye na Husnyo-kumbe bwana kisura ni Michelle:smiling:. nilikuwa kama story ile ya kipofu na kuku-nadhani wengi mnaikumbuka(kipofu alipobahatika siku moja kuona kwa sekunde alifanikiwa kumuona jogoo-basi akiambiwa hili ni ghorofa, anauliza eti ni kubwa kuliko jogoo)-nilikuwa kipofu kabisa-am enjoying to see your Avatar
 
kijana, punguza pombe.
 
Heee! Husninyo kaingiaje hapo na mtoto wa watu hajaweka avatar wala nini.
 
Tena anaonekana huko bush alikuwa anatumia chimpumu.Hatuwezi kuwalinganisha Preta na Michelle kwakuwa Preta tumeshamzoea nahisi kama ni mdogo wangu nitakuwa 'biased',Michelle bado mgeni.

kama preta mdogo wako, mi nishemeji yako wa ku_addopt maana mwarabu ndie preta ana mpenda kuliko mm
 
wote hao wahusika uliwataja hapo juu..
mmmmhhh itabidi nikupigie nikupe story..
wote ni super kwa kweli...

hata siku moja usije jaji mtu ajili ya avatar ''
take care
AD
 
Back
Top Bottom