Preta i miss you!

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
Mrembo preta uko wapi?umebadilisha ID au ni majukumu?jitokeze mwandani nimekumiss!
 
Mkuu, pole sana!
Kama maumivu yanazidi wasiliana na mimi nikumwagie macontact yake!
Siku hizi kaendelea huyu!...Mambo yake ANAMALIZIA Kericho...haji tena pale MMRH.
 
Mkuu, pole sana!Kama maumivu yanazidi wasiliana na mimi nikumwagie macontact yake!Siku hizi kaendelea huyu!...Mambo yake ANAMALIZIA Kericho...haji tena pale M/Meru.
mkuu naomba macontact yake!but ningependa kumuona jamvini!
 
Mrembo preta uko wapi?umebadilisha ID au ni majukumu?jitokeze mwandani nimekumiss!

Nipo mpenzi.......sijabadili ID wala nini......majukumu yamezidi........nimekumiss sana mno mno......
 
Mkuu, pole sana!
Kama maumivu yanazidi wasiliana na mimi nikumwagie macontact yake!
Siku hizi kaendelea huyu!...Mambo yake ANAMALIZIA Kericho...haji tena pale M/Meru.
PJ unaanzisha ugomvi halafu umekaa kwenye nyumba ya vioo shauri yalo, mara Kericho sijui shauri yako! Preta mama koki ile smg niliyokupa na kukufundisha vyema jinsi ya kuitumia PJ analeta maskhara hapa vinginevyo alasilmu amri.
 
Mkuu, pole sana!
Kama maumivu yanazidi wasiliana na mimi nikumwagie macontact yake!
Siku hizi kaendelea huyu!...Mambo yake ANAMALIZIA Kericho...haji tena pale MMRH.

Kericho siendi tena.......nshasema......halafu wewe......nitakapokushika.........umwambie na mwenzio SV.......mtajibeba siku hiyo
 
Nipo mpenzi.......sijabadili ID wala nini......majukumu yamezidi........nimekumiss sana mno mno......
NAWE SI ujifichefiche kidogo kwanza umfanyie pozi zako zile za kumtoa nyoka pangoni?!...Dakika tu ushajitokeza?...utakosa nanihiino, ohoooo!
 
Libya tena umeenda kuongeza silaha smg haitoshi kumuangamiza PJ na Kericho yake?

PJ haitaji silaha kali za maangamizi........najua jinsi ya kumuangamiza.......halafu na wewe naona umeshaniweka kwenye ignore list.....why.....
 
Kericho siendi tena.......nshasema......halafu wewe......nitakapokushika.........umwambie na mwenzio SV.......mtajibeba siku hiyo

Utatupiga na kreti ngapi za Reddz aka Namaqua?...maana najuaga hasira hasira zako zinakuwaga za kumnanihii mtu hadi atembelee magoti!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom