:::Preta & El-Toro:::

Dah! imekula kwangu aisee! Whyy Preta? Kwanini lakini? au kwasababu sikukununulia jenereta kipindi cha mgao? naomba unilejeshee kinokia tochi changu nilichokuletea zawadi kipindi cha uchumba hewa wetu.

na wewe AD sitoquote post zako kwa muda wa wiki 2 , hii ni azabu yako ya kuanzisha hili sredi.

mkiona sijibu posts mjue nimezimia.

ha ha ha ha haaa mkuu mi ndo nimezinduka baada ya kuzimia! niko njiani naelekea yaeda chini... i have to hear this face2face:car:
 
ha ha ha ha haaa mkuu mi ndo nimezinduka baada ya kuzimia! niko njiani naelekea yaeda chini... i have to hear this face2face<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/car.gif" border="0" alt="" title="Car" smilieid="145" class="inlineimg" />

Dahh huo usafiri wako
Utafika kweli Yaeda Chini ...
 
najikongoja taratibu... i must get there
<br />
<br />
Fahhhhhh
Si bora upande Mtei lolz
Maana hiyo yako haipandi
Mlima Bashneti na hilo yope
Ndo usiseme... na hayo matuta
yalivyojipanga barabarani hapo
Dareda hiyo harusi kuhudhuria sahau ..
 
Nilitoa tahadhari lakini naona hatuelewani!? What r u discusing? Yaani kwenda kuvuna mahindi Kibaigwa ndio imekuwa kosa!? In the name of which god did Preta get married to another man. That is impossible. The boy was just kidding!
 
Back
Top Bottom