Press release ya wahadhiri wa vyuo vikuu

Mh! Hapa sina la kusema kwa sababu tunaowategemea kutetea haki nao wanaogopa
 
namna ilivyoandikwa ni kwa minajili ya kufahamisha umma kuhusu madai yao yawezekana kuna wamwaga sumu wa uongo wameishaeleza ndivyo sivyo na kama watataka kugoma basi uma uwe umeishatambua madai yao hasa ni yapi.
 
Waaziri wa vyou vikuu wametoa taarifa maalumu kwa umma kuhusu madai yao. Angalia hicho kiambatanisho. Tunawaomba wanafunzi wao wawasaidie kugoma kwa sababu wenyewe hawawezi wanaogopa.View attachment 11493

Yaani watoto wetu wagome kwa sababu waalimu wao waoga? Kama hao waalimu ni waoga basi hawafai kuwafundisha wanetu, maana vijana wetu wanapata influence kutoka kwao ya vitu vingi pamoja na ujasiri.
 
Umoja ni nguvu kwani kuna ubaya gani wanafunzi kuwasaidia wahaziri wao? kwa sababu wanaoasilika ni wanafunzi kama wahaziri wataamua kuanzisha mgomo baridi.
 
Lyangalo, kabla ya kuendelea na mjadala naomba kujua maana ya neno 'wahaziri' kama ulivyolitumia.
 
Tuwasaidieni jamani kwani ni wenzetu wanaweza kutusaidia pia
 
wahadhiri sasa na wao wanakimbilia kwenye press release... sijui akina siye tufanyeje

DN
 
Hivi R.J Assey siyo "Phd Holder"?

Mbona kamtambulisha "Rais Dkt .." na yeye hajajitambulisha kwa "hiyo Dkt"?

Press Release ime-flow vizuri: ila pale mwisho "imepoteza mtiririko" esp baada ya ku-quote "Rais Dkt..."
 
Hawahitaji msaada maana kama wangetaka kwanza wangesema wanataka kuchukua hatua gani na wanahitaji msaada gani, if at all thats necessary.
 
Back
Top Bottom