Press conference ya Farrakhan UN jana

Chizi tu huyo anaongoza taifa ambalo halijawahi kuwepo tangu kuumbwa ulimwengu. Why giving him crdt?
 
Chizi tu huyo anaongoza taifa ambalo halijawahi kuwepo tangu kuumbwa ulimwengu. Why giving him crdt?
kama mwenzio chizi we huna akili kabisaa, hapo zamani wanasayansi waliamini dunia ipo kama meza, kuwa makini kudhani unauelewa wa kutosha leo ni upuuzi kabisa kesho.
 
jamaa amesema kweli kabisaa,jamaa haogopi bana
 
Last edited by a moderator:
Namuhusudu sana huyu jamaa bt cmu yangu ndogo haiwezi kuplay nambieni anasema nini louis farakhan
 
Nimemsoma, amenigusa hapo alopoelezea kwamba
the western superpowers will never change, and they are not going to change.
Amefananisha na nyoka ambaye hujivua gamba lakini akabaki nyoka
yule yule na athali zake ni zile zile.

Akimaanisha CCM will never change.
 
hehehehehe,we kwa kubadilisha mambo unatisha

ila jamaa namkubali anawaeleza wa USA vipi kuhusu myale mabumu ya heloshima na nakasaki je hiyo ndio njia ya kulinda watu?
 
Kwa wapambe wa Farrakhan, pateni uhondo mwingine katika hotuba yake ya 28th May 2011

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom