Tetesi: Press Conference ya Chadema haitakuwa "LIVE"

Basi wampe hata mange kimambi (kiddin) unajua saa nyingine mi nawaona cdm kama hawana plan B sababu naamini sio kila kitu kulalamika kuonewa they must have alternative au hata contingency plan kwa kila walifanyalo hasa ktk dunia hii ya globalization

Salum Mwalimu ni Muislamu.
 
Salum Mwalimu ni Muislamu.
Hapa ndio unaleta mambo ya kipuuzi kabisa kabisa, hivi CCM hakuna Wakristo? Hivi ni dhambi kuwa Mwislamu? Acha ushenzi wako hapa wa kutaja taja dini za watu wengine kwenye uouuzi wako huu
 
Kwani wameshindwa kuweka hiyo hotuba yao ktk website? Kipindi kile nakumbuka c walituambia huwa wanatuwekea mtandaoni? Shida ik wapi.....haya zungusha mikono zungushaaa
 
Ni lazima chama cha siasa,vilabu vya mipira kuwekeza kwa nguvu ktk habar au public relation yao maana la sivyo watakuja kwama kunahitajika investment kubwa angalia Jk alivoona kwenye chama mambo yamuendea mrama baada ya operation vua gamba akaekeza kwenye IT na media kwanguvu ndio CCm hii iliokuwa yashambuliwa hapa Jf vibaya mno lakini leo CCm imekuwa na watetez hivi Leo Jamaa wana live streaming kwenye mikutano yao na mengine mengi. Na mnaona wenyewe sasa hvi Ikulu manguli wote wa fitna za habar walichukuliwa na Jk kama blogger michuzi na JPM kazidi kuchukua wengine ndio maana kila ukilala ukiamka ni JPM atafnya nn na kafanya nn
 
jaman hawa wazee wa matamko tuwapuuze kwani matamko yao hayajengi zaidi ya kubomoa
 
Kwani wameshindwa kuweka hiyo hotuba yao ktk website? Kipindi kile nakumbuka c walituambia huwa wanatuwekea mtandaoni? Shida ik wapi.....haya zungusha mikono zungushaaa

Unajua gharama za kuandaa press conference? wakiweka kwenye website watu watashindwa kupiga mpunga. Mchaga hua hafanyi kazi ya bure hata siku moja
 
Hivi kwanini chadema wasianzishe kituo chao cha radio na TV ili wakitaka kutoa matamko kusiwe na sababu za kiufundi?
 
ccm na serikali yake wanazidi kujimaliza, kumbe hata kuzuia bunge live hofu ni chadema? Wanaogopa wananchi kuambiwa madhaifu ya ccm? Kama wana ubavu na wako makini kwa nini wasiache chadema waongee nao waje waongee yao pia? Haa kweli serikali haikai makini kuleta maendeleo zaidi ya kujaza msuli kupigana na chadema.

Kwani azam na ITV NI vyombo vya SERIKALI
 
Kutorusha Live hivyo vyombo vya habari viko sahihi.Kuna vitu ni hatari kwao vinavyoweza kuwagharimu ikiwa ni pamoja na kufungiwa na TCRA hasa ukizingatia tabia ya kuropoka vitu visivyo na ushahidi na hatarishi kwa usalama wa nchi waliyo nayo CHADEMA.Waweza ongea kitu hewani ambacho kinaweza kigharimu kituo cha television.Hiyo ya kurekodi kwanza imetulia.Wahariri wanapata muda wa kuangalia na kujiridhisha kuhusu hicho kilichomo humo kwenye tamko kabla ya kurusha hewani kwa usalama wa kituo chao,usalama wa nchi na ukweli na uhakika wa habari husika.

Kituo kabla ya kurusha LIVE lazima kiwe na uhakika wa tabia na aina ya huyo mrusha habari Live lazima wamfanyie uchambuzi wa vipengele vya kitaalamu vya KYC (know your customer) kabla ya kutoa go ahead ya kuwa ruksa rusha live.Wakimkatalia ni sawa.Kwani Hata CNN au BBC hata ilipwe shilingi ngapi haiwezi rusha Live mahojiano na viongozi wa magaidi wa kundi la ISS au ALKAEDA.
Hapa unamaanisha akili na busara ziko ccm inayorusha live matusi kejeri na vijembe kwa wapinzani sio?!
 
CHADEMA wakosa fedha za kurusha Live Mkutano wao na Waandishi wa Habari.



CHADEMA walitoa taarifa kuwa wangerusha moja kwa moja mkutano wao na waandishi wa Habari ambao ulipangwa kufanyika leo kuanzia saa tano Asubuhi. Taarifa zinasema kuwa chama hicho kilialika vyombo vya Habari vya Azam, ITV, Channel Ten na Radio kadhaa kurusha hewani mkutano huo.

Hata hivyo, mpaka leo saa mbili Asubuhi, CHADEMA wamekosa fedha za kurusha hewani Mkutano huo. Inaelezwa kuwa Freeman Mbowe amesema kuwa chama hakina fedha kwa vile walitumia fedha nyingi kugharamia Mkutano wa Kamati kuu kutokana na kuongezeka kwa siku za mkutano huo kutoka siku mbili zilizopangwa awali hadi siku nne. Naye kiongozi wa heshima wa CHADEMA, Edward Lowasa alipofuatwa kuokoa jahazi alijinu kuwa imekuwa ninghafla mno na kwamba wangemwambia mapema, angewasiliana na maswahiba wake wangemsaidia.

Ka hali hiyo, Mkutano huo umeshindikana kuwa Live na sasa rusubiri recorded au clips zilizoeditiwa.
Jifunze mwandiko kwanza mkuu!
 
Habari za uhakika, pesa zilikuwa zitoke kwa ma-mvi, familia imegoma zisitoke.
QUOTE="TataMadiba, post: 16989129, member: 206398"]Safi sana , sasa naanza kuona maana ya dola na chama tawala.[/QUOTE]
Lumumba ni misukule,haijui hata nin inaandika!Haya ona unavyojichanganya mwenyewe,which is which?Kenge wewe
 
Back
Top Bottom