Presidential look

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,870
HIVI HUYU JAMAA NA OBAMA
NANI ANA PERSONALITY YA KI PRESIDENTIAL KULIKO MWINGINE????????



781.jpg
 
Aah aisee Dennis Haysbeth a.k.a President David Palmer alikuwa wa ukweli bana....
Its like he was the real president yaani....umenikumbusha kitu kizuri sana!
I used to admire the guy.....I wish yeye ndio angekuwa President wa Tanzania....
 
Watoto wa mjini hutanguliza "No homo" ama sivyo utafanya watu waamini unapenda wanaume.

Nyerere anakwambia kama unampenda rais kwa sura nenda kanywe naye chai.
 
Back
Top Bottom