TanzActive
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 367
- 73
Hayo mahesabu ya Inflation rate kuwa 9% uwongo wa mchana kweupe hepu angalieni
S/No MWAKA 2006 2007
Bidhaa Bei Bei Ongezeko (%)
1 Mkate Mdogo 400 600 50,00
2 Nauli 200 300 50,00
3 Lunch 1800 2500 38,89
4 Nyama 2400 3000 25,00
5 Mafuta kula(sundrop) 4500 8000 77,78
6 Mkaa Gunia 12000 20000 66,67
7 Maji (Ndoo) 150 200 33,33
8 soda 200 350 75,00
9 Mineral water 300 400 33,33
10 Nyumba ndogo (2 bedrooms)100000 150000 50,00
11 Sembe 300 450 50,00
jamani kinachonishangaza ni kwamba commanding power ya sh imeshukua kwa wastani wa 50% sasa hii inflation ya 9% inatoka wapi ?
nielimisheni