President Paul Kagame responds to Jakaya Kikwete on FDRL comments 'utter nonsense'

Kagame, we all know that your economy depends on diamonds that your soldiers steal from the DRC. You would therefore like to have an endless fight with your opponents for the benefit of your country. This explains as to why you oppose any talk that may see an end to the fight.

It doesn't come to sense that Tz's advice would provoke your anger to an extent of insulting the advisor. Advice doesn't move stones!! So calm down before we strip you naked. For, we have the power.
 
Poor JK should go back to the school of diplomatic studies Kurasini to sharpen his now vividly dipping diplomatic skills!! "Utter nonsense"; OMG!! thats an embarassment of Tsunami proportions from a fellow EAC President;

My Take: JK should learn to preach what he practices; Not otherwise; How come JK instead of NEGOTIATING with the people of Mtwara is sending more and more security and military personell to Mtwara to intimidate the people and now the gas issue is seemingly getting out of hand!!

JK; We have a yet to be resolved issue with Malawi; it is unwise to start generatting another hot spot with another neighbour and particulary in the name of Kagame; a known no nonsense, hard nosed military man;

Please make time to sit down with M7 of Uganda for a good measure of Kagame.

Wanyarwanda mnajifanya wajuzi sana na akili,ondoa upumbavu wako hapa! Wabaguzi wakubwa na mnajifanya mna akili kuwazudu watu wengine!
 
Ni wakati muafaka sasa kufunga rasmi makambi ya wakimbizi wa rwanda waliopo kigoma na ngara....kagame anajifanya mwerevu wakati tanzania inabeba mzigo wa watu wake kutokana na kukosekana kwa amani nchini mwake
 
Kaka don't think Kagame is stupid during 1994 genocide Tanzania being the neighbors of Rwanda what did we do to arrest the situation? We used to hear a lot about Interahamwe , where have they gone? You have to understand that it has taken quite some time before President Kagame has embarked on the same! Tanzania should find means to encourage her people to seek employment in Rwanda where the economy is good and there is reliable employments and in that regard we would be tackling unemployment issue rather than engaging in issues which would send us into war!! That Tanzania can put in power anyone in the region is rubbish and stupid speculations! May be you are still young you do not know the history of this country...in short the war between Uganda and Tanzania has paralyzed us economically to date! We used to hear "Miezi 18 ya kujifunga Mkanda"! Hitherto, the country is suffering post war spilling over effects!! Nadhani umewaona two super powers US & China they are geared towards economic growth and development of their people! Kwa nchi kama Tanzania lazima tujijue tunatakiwa kujijenga kiuchumi kwa kutafuta opportunities popote zilipo kama Rwanda South Sudan badala ya kuwaza kupigana, It is non sense na haitusadii sisi wala vizazi vijavyo...Je, umeshawahi kusikia Marekani inataka kupigana na Canada au Mexico? Think twice!!
Lets leave alone our economy and consider the truth behind the ongoing conflict in Rwanda. First I would like to assure you that Tanzania was one of the strong mediator of the conflicts that arised in Rwanda in the earily 1990s. If you go back to history, you will realize that, after the first attack of the RPF in 1990, it is Tanzania which mediated the situation leading to the signing of the agreement for a coalliation government between the Tutsi and the Hutu. The same was done for Burundi. However, before the coalliation government came into effect, the Kagame and his allies shot Habyarimana's plane leading to the genocide.
 
Anae bisha na kuleta kejeli juu ya kauli ya kikwete ajiulize anafaidika na nini kwa wakongo kuuwawa na askri wa kagame? Lakhni mwisho wa siku kagame atambue kuwa sisi ni taifa kubwa tunaweza hata yeye kumwondoa madarakani na kumweka mtu wetu kama tulivyo fanya uganda kongo na burundi

sio kwa sasa mkuu tumekuwa butu sana tofauti na enzi za Nyerere
 
Katika marais wa hovyo kagame is iclusive the man he belive that tanzanian people have the same leve as his people in awarenes,watanzani si wajinga kama warwanda ambao anawatawala kwa mabavu tunampongeza rais wetu kwa kuendelea kumpuuza.
 
Assist me here fellaz....why did we send our troops to rid M23 and not use these mighty reconcilliatory 'tekniksi' ?

Kikwete's position is that the military option is a short term solution. Ultimately, and this is not a mere Kikwete position, but a common thread in Tanzanian Foreign policy - or rather whatever semblance left of it- is to prefer negotiations over military options.
 
Kikwete alitoa ushauri kwa nchi za maziwa makuu, iweje kagame ajirukie na kuanza kubwabwa huu utumbo??? Anahusika na ukandamizaji wa demokrasia na kuendesha umwagaji damu
 
Msimamo na kauli ya Rais Kikwete ni hoja ya kuungwa mkono.Hakuna ku-apologize!

Anadhani Tanzania itaburuzwa kama anavyowaburuza wananchi wake .Amepika mashtaka ya kisiasa dhidi ya Victoria Ingabire aliyekua mpinzani wake kisiasa na sasa amefungwa jela,Jenerali Kayumba Nyamwasa ali-survive asssassination attempt kule South Africa kwa sababu tu jamaa anamuhofia kuwa anajua siri zake na jinsi alivyohusika kwenye genocide maana alikua mkuu wa Usalama baada ya RPF kuingia madarakani.Alikua Chief of Staff na anajua michezo ya Kagame dhidi ya wanasiasa waliokua serikali na tishio kwake


Kwa mfano Magazeti ya Rwanda yanalazimika kumpamba huyu Dikteta asiye na tofauti na Hitler linapokuja suala la Ubaguzi.Ni dikteta aliyechanganya mbinu za kizamani na za kisasa.Ndiyo maana jumuiya ya Afrika Mashariki itakumbana na Changamoto nyingi sana,bora Museveni ambaye anaona aibu kidogo kwenye EAC affairs

Unajua hakuna jambo ambalo lilinipa wakati mgumu kama ule mchakato wa kasi wa kuziingiza nchi Rwanda na Burundi katika jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Mchakato ule ulipoanza nilijiuliza busara za viongozi wa EAC ziko wapi. Kwani nchi hizi zilikuwa hazija ji commit kusaka amani za kudumu katika nyumba (nchi) zao. Na moja ya 'spirit' ya EAC ni kuwa nchi taifa mwanachama lazima nchi iwe na uvumilivu wa kisiasa na ustawi wa amani katika nchi husika. Niliona viongozi wa EAC wamekuwa vipofu kwa kutoona ajenda chafu ya Rwanda iliyokuwa nyuma ya pazia. Mwanzoni nilihisi Rwanda ilikuwa haina pa kushikia ndio maana ilijitahidi sana iingie kwenye jumuiya ili ipate pa kuzuga. Hii ingewafanya waepuke kipigo cha mchangio iwapo ingekuwa nje iwapo ingeanzanza kucheza faulo kule Congo DRC.

Lakini baada baada ya kupewa kadi ya Uanachama tu tulishuhudia ngozi halisi ya Rwanda pale ilipoanza haraka haraka kuanza kudai kwa nguvu zote ipewe zamu ya uongozi wa Ukatibu Mkuu wa EAC. Hapo nikajua sasa mgeni (mkaribishwaji) ameshakuwa mwenye nyumba (typical Rwandese attitudes). Nikaona sasa Rwanda imepata pa kuegemea kwani hata ikifanya ukorofi inajua iko kwenye mwamvuli wa jumuiya. Hivyo hakuna tishio la kunyooshwa kwa kundi jingine lolote la umoja wa nchi majirani. Na kweli imekuwa hivyo kwa kipindi chote sasa.

Mwisho, nafarijika sasa kuona walau safari hii Rais Kikwete na Serikali yake amepata ujasiri wa kuthubutu kutoa kauli kwa kuliita shpe ni shepe na koleo ni koleo japokuwa kwa kipindi kirefu Rais amekuwa mtazamaji wa uchafu wa Rwanda. Nilikuwa nikijiuliza siku zote nini maana ya ububu na ukipofu wa Kikwete juu ya Kageme na Unyama wake kule DRC. Lakini bila shaka yote yanatokea sasa kwa sababu 'It's all about the time"

Binafsi si mpenzi wa hivyoooo wa siasa za Kikwete. Lakini kwa hili la ushauri wake kwa Kagame (siasa za ushabiki wa vyama naziweka pembeni) na natangaza kuwa niko bega kwa bega na Rais wangiu 150%. Hakuna cha kumuonea haya Museveni wala Kagame. Ikibidi kila mtu kivyake vyake lakini lazima Tanzania lisiwe taifa lakufanywa 'babu jinga kubwa'. "We must have to take the charge."
 
Wakuu kagame anajiona amesimama lakini anaweza kuanguka wakati wowote,kwanza taifa lake ni dogo sanani sawa na ukubwa wa mji wa mpanda sasa hizi kelele anazopiga sijui anamtegemea nani,cha ajabu zaidi jk alitoa ushauri huu kwa marais wote wanaohusika na huu mgogoro why kagame tend to react?
 
Pamoja na tofauti zangu juu ya CCM na Rais Kikwete kwa ujumla; kwa hili, napingana na kile Kagame alichokisema. Lugha iliyotumiwa na Kagame sio ya kidplomasia na inaonyesha dhahiri dharau zake zidi ya Rais Kikwete.

Lakini kama kweli anataka amani ya kudumu basi ana budi kufuata huo ushauri. Tumeona leo kule Afghanistan, Marekani wanatafuta njia ya kuwashirikisha Taliban katika serikali. Kagame inabidi afike sehemu, akubali kwenda mbele na kutafuta muafaka wa kudumu.

Mkuu sisi hapa Arusha tuna ushahidi wa upuuzi wa WaTutsi. Kagame amedhihirisha rangi yao.

Tanzania kwa hili Kikwete ameonyesha kubakia na tunu kubwa ya Utanzania ya kutatua migogoro bila kupendelea. Namuunga mkono, tumuunge mkono kwa kutoteteleka tutunze heshima yetu. Maana ni kweli migogoro yote huishia kutatuliwa kwa njia ya majadiliano na maridhiano NA SI VINGINEVYO.
 
Rwanda ni KANCHI kadogo sana kutunishiana misuli na Tanzania, mimi siwezi kuingia huko kwenye mada kwa kuwa Rais wetu aliingia kwa kuwa hajui vizuri diplomasia, aliingia kichwa kichwa. Dharau hii toka kwa wanyarwanda tumejitakia wenyewe kwa kushindwa kujitegemea. Dunia nzima wanavyoona rais wetu anazunguka dunia nzima kutembeza bakuli wanajua kuwa hana chakula cha kulisha wanaye. Mkuu vita siku hizi is all about economy, kama nchi inakopa hadi hela za kulipa mishahara wafanyakazi wake unajidharaulisha na majirani ndio maana Kagame ameamua kujipima na GHOLIATH baada ya kumuona Gholiath kadhoofika...

Wenzetu wamekuwa wakijiimarisha kijeshi for years, ingawa Rwanda bado haiwezi kusimama na sisi na ni kanchi kadogo, lakini sisi tulikuwa tumelala hatuna fedha na tumeitelekeza bajeti ya wizara ya ulinzi. Angalau mwaka huu wizara ya Ulinzi imepata bajeti ya kutia moyo. Uganda na Kenya wamekuwa wakiimarisha majeshi in recent years. Museveni amenunua hadi F16 Fighter jets sisi bado tunategemea vile MiG 21 na Antonov 29 fighter jets, ndio maana wanatudharau. Hata kama Baba mwenye nyumba una KITAMBI, kama watoto wako wanalala na njaa majirani lazima watakudharau tu, ndio maana Kagame anatudharau, na dawa sio kumpiga risasi, dawa ni kuimarisha uchumi na kuacha kutembeza bakuli tu.

Wewe ni muongo M7 hajanunua F-16 za kimarekani ila za Urusi aina ya Suckoi na sina uhakika kama anazo tayari wenye data za ukweli watatuambia. Bajeti ya jeshi unaijua kumbe acheni kudanganya watu hapa kwenye jukwaa! so jeshi letu limekua kama la Congo siyo? watu mnafani za kutunga uongo kupindukia,fanya tafiti za kutosha kabla hujakulupuka na data za kusikia vijiweni.
 
Nilikua namkubali sana Kagame, bado ninampenda yeye na nchi ya Rwanda, nina mshauri lakini asitumie hasira, Tanzania sio kabisa, ni mnyama mmbaya, akumbuke waliitwa MASHETANI katika vita waliopigana dhidi ya Saud Arabia, Sudan, Libya na Uganda na akiwepo mbele Dada Idd Amin na Tanzania ilishinda na mpaka leo Uganda imeongozwa na vibaraka kama 6 hivi wa Tanzania akiwepo Museveni, vita Tanzania ilishinda peke yake pamoja na Dunia nzima kukaa benchi na kutucheka.
 
I ve never understood why Tanzania has always failed to set its priorities! We would really consider our neighbours as a turning point for our economic growth. We can invest bilateral and multilateral cooperation instead of playing these useless games! Can't we channel our strength and ego in economic diplomacy?

There cannot be any economic diplomacy with our neighbors if they are mired in ceaseless wars and genocides.

Encouraging peace IS economic diplomacy.
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom