President Paul Kagame responds to Jakaya Kikwete on FDRL comments 'utter nonsense'

I am the most CCM critic but on this one i am solidly behind our Men and Women in uniforms who are fighting to retain PEACE in DRC.We need to support them no matter what,We have to put our ideological differences aside and stand united against the ENEMIES of peace in this region.That's what we call it a PATRIOTISM.I love you Tanzania,the land of heroes.I love our Men and Women in uniforms,Fight for our flag,Fight for the region's peace and fight for Africa's tranquility.
Katika mslai ya Nchi lazima kwanza tuonyeshe uzalendo wetu baadae tunaweza kutofautia kiitikadi naamini kwa hili wote tupo nyuma ya Rais wa Jamuhuri ya Tanzania mimi nipo tayari kuvaa kombati kama itabidi!!mimi ni service man kama asikari wa akiba!Marekani kwa uzarendo wanaongoza!!nasisi lazima tuwe namba2!
 
Akili yako inafikiri kinyume nyume! Huwezi acha kumlinda baba yako anapo shambuliwa na wakola kisa eti hajakupeni watoto wake mkate na siagi asubuhi!
Kwa hili niko na Raisi wangu Kikwete, nitaisapoti approach yake kwa mgogoro huo wa Rwanda!

Hata mimi pia, hili ni la kwetu Watanzania.
 
Option B ya kutuma military ilitumika baada ya M23 kuikataa option A ya kukaa mezani na kufanya mazungumzo!

Mkuu, umesahau..! Kulikuwa na mazungumzo Kampala ambayo yalipelekea M23 kuuachia mji wa Goma. Kupeleka majeshi DRC ilkuwa ni kuvunja nguvu ya mazungumzo ya amani na hivyo JK hajui anachoshauri kuhusu DR Congo. Ninaipenda nchi yangu lkn hili ni suala la JK na utashi wake ktk Foreign Politics. Na hapa wengi tutaitwa Watutsi..!
 
Msimamo na kauli ya Rais Kikwete ni hoja ya kuungwa mkono.Hakuna ku-apologize!

Anadhani Tanzania itaburuzwa kama anavyowaburuza wananchi wake .Amepika mashtaka ya kisiasa dhidi ya Victoria Ingabire aliyekua mpinzani wake kisiasa na sasa amefungwa jela,Jenerali Kayumba Nyamwasa ali-survive asssassination attempt kule South Africa kwa sababu tu jamaa anamuhofia kuwa anajua siri zake na jinsi alivyohusika kwenye genocide maana alikua mkuu wa Usalama baada ya RPF kuingia madarakani.Alikua Chief of Staff na anajua michezo ya Kagame dhidi ya wanasiasa waliokua serikali na tishio kwake


Kwa mfano Magazeti ya Rwanda yanalazimika kumpamba huyu Dikteta asiye na tofauti na Hitler linapokuja suala la Ubaguzi.Ni dikteta aliyechanganya mbinu za kizamani na za kisasa.Ndiyo maana jumuiya ya Afrika Mashariki itakumbana na Changamoto nyingi sana,bora Museveni ambaye anaona aibu kidogo kwenye EAC affairs

Kuna siku nliona bbc wakimhoji Faustin Kayumba Nyamwasa
, alishangaa sana viongozi wa rwanda kupuuzia ushauri wa Kikwete. Kagame wakati anakatukejeli anasahau kua Tanzania ikiamua kumuandoa wala haihitaji kutumia nguvu nyingi zaidi ya kumpa msaada KN.
 
Negotiating with FDLR is “utter nonsense” – President Kagame

Negotiating-with-FDLR-is-utter-nonsense-%E2%80%93-President-Kagame.jpg





“We can go back to our mountains and grow our potatoes. We did it and we survived,” he said.


“The will of our people is the will of our people and cannot be dictated,”.

MiTanzania tulivyo mipumbavu tumeishia kupiga longolongo na kujifanya GANGWE kwa Rwanda kanchi kadogo kama Wilaya ya Rungwe wakati kuna bonge la ujumbe kwenye speech ya Kagame ambao tunatakiwa kuufuata. Kwangu mimi hapo kwenye RED ndio ninapompendea Kagame, ana uwezo wa kuthubutu, Kikwete yeye anazunguka dunia kutembeza bakuli la UMATONYA. Come on DR Kikwete, lets go to our mountains and grow our potatoes, these wazungu friends of yours are all BULSHITS...
 
  • Thanks
Reactions: WFM
This is what I call comparing apples to oranges.

Granted, all politics is hypocrisy (and therefore no politics is hypocrisy by the way), and to be truthful Kikwete is being "conveniently conciliatory" in that he is not being consistent, but still, if you really are for reconciliation you should laud Kikwete in his stand on Rwanda, and ask him to apply the same reconciliatory acumen in Mtwara.

Right now you look full of schadenfreude, which is as basic as asexual reproduction.
Probably the Mtwara saga could not be a proper example of the peaceful negotiation that can be compared to Rwanda. By the way, there have not been wars in Mtwara. Police operations are not war.

I am confident that Kikwete is 100 times smarter than Kagame on the ongoing conflicts between FDLR and the government of Rwanda. Kikwete understands it very well that, what FDLRs are currently doing is exactly the same as what Kagame himself did to get into power. Of the one million people who died from the genocide, about 300000 to 500000 people were killed by Kagame's RPFs forces, who started a war simultaneous with the genocide fighting against the Iterahamwe and the Hutu. Like the FDLR who are fighting from Congo DR, the RPF also was fighting from Uganda. So the same approach he used, is being applied by the FDLR. Kikwete is quite aware of this; he knows the dirty game that Kagame played to become a vice president and later on a president of Rwanda, and the way he maneuvered the constitution to silence Bizimungu and the larger community of the Hutu. If both FDLR and Kagame are playing a similar dirty game why cant they go for a talk?
 
Poor JK should go back to the school of diplomatic studies Kurasini to sharpen his now vividly dipping diplomatic skills!! "Utter nonsense"; OMG!! thats an embarassment of Tsunami proportions from a fellow EAC President;

My Take: JK should learn to preach what he practices; Not otherwise; How come JK instead of NEGOTIATING with the people of Mtwara is sending more and more security and military personell to Mtwara to intimidate the people and now the gas issue is seemingly getting out of hand!!

JK; We have a yet to be resolved issue with Malawi; it is unwise to start generatting another hot spot with another neighbour and particulary in the name of Kagame; a known no nonsense, hard nosed military man;

Please make time to sit down with M7 of Uganda for a good measure of Kagame.

You are absolutely wrong and you seems to utter nonsense like Kagame and his followers! What Kikwete advises does not warrant such endless condemnations. It was just a piece of advise and were not obliged to buy it. After all we all know that Kagame is angry with JWTZ Troops in Congo.
It is again ridiculous to compare Mtwara and that issue. Our Prime Minister and some minister spent some days solving the issue what else do you want them to do with law breakers?

Yes, we may hate CCM but for this issue we must strongly defend our Nation.I stand to be criticised.

 
Pamoja na tofauti zangu juu ya CCM na Rais Kikwete kwa ujumla; kwa hili, napingana na kile Kagame alichokisema. Lugha iliyotumiwa na Kagame sio ya kidplomasia na inaonyesha dhahiri dharau zake zidi ya Rais Kikwete.

Lakini kama kweli anataka amani ya kudumu basi ana budi kufuata huo ushauri. Tumeona leo kule Afghanistan, Marekani wanatafuta njia ya kuwashirikisha Taliban katika serikali. Kagame inabidi afike sehemu, akubali kwenda mbele na kutafuta muafaka wa kudumu.

ukitaka kutoa ushauri kwa mtu mwenye mamlaka yake ni bora ukatafuta nafasi uongee naye mkiwa wawili kwenda kusema kwenye majukwaa ni kufanya uchochezi tu. Kwanini asingemtafuta wakapeana ushauri kwanza.
 
ni aibu kuona aliyetoa ushauri ni raisi wangu. hapa namuunga mkono kagame asilimia 100 maana watanzania sisi tunachukulia mambo kirahisi tu au niseme sisi watanzania tumezoea kutunga insha tu kwa aliyeshuhudia kilichotokea Rwanda miaka hiyo ya mauaji asingesema kuna haja ya kufanya mazungumzo. namkubali sana kagame jinsi anavyoendesha serikali yake na haongei kufurahisha watu tu kama wa kwetu. tukipata kiongozi kama huyu tutapiga hatua
 
Its well known that Kagame was part of the gangsters who shot Habyarimana's plane, leading to the mass killings in Rwanda. Some investigative reports show that Kagame, being supported by Uganda which offered the missiles that were used for shooting down the Habyarimana's plane, went into a hide immediately after the bombing; where, with the help of Museveni he organized an armed force that went back to Rwanda as a mediating army being lead by the Ugandan brigade.

Kagame's grief over FDLR, is more on the fear of the revenge. He understand very well that, after the Tutsi under Kagame, had killed Habyarimana, the Hutu's revenge was to kill the Tutsi (cockroaches) wherever they were. It is said that when RPF (Kagame's party) conquered Rwanda by the end of 1994 with the help of Uganda, the majority of the Hutu (over 2000000) ran away from the country. Majority of them going to Zaire, where they formed an armed force to fight back the RPF. So in-fact there is no history which shows that, the FDLRs were the solely organizers of the mass killings as claimed by Kagame and his followers, but they are the most unwanted because they are fighting against the Tutsi party, Kagame's party (the RPF). Before Kagame can stand up and point fingers to Kikwete he should rethink of his acts since the first attack to Rwanda in 1990 and later on in 1994 when they killed Habyarimana? Couldn't it be the killings of Habyarimana there wasn't going to be a genocide in Rwanda because Habyarimana had already accepted and signed for a coalition government.

By the way who are all these people who are making so much noise over Kikwete's advice. Its no wonder that they are all Tutsi, its no wonder that their grief over Hutu is ongoing. Why are they so alarmed by Kikwete's comment; a very normal comment, which one can decide to accept or decline? I believe there is something underneath that is perpetuating these noises among the Rwandans - tribalism, is still on hold - I guess. Their problem is not what Kikwete said, but is on the consequence of the talk with the FDLRs.

Kudos to you!! This goes down as the bitter truth of the matter!!

It is this version that Kagame et al want the world to "believe"!! Late President Habyarimana was a nationalist and worked to unite all his people, a thing that didnt sit well with his own people in the first. Hutus tolerated that!! His death triggered the massacre because now the Hutu knew the other side wanted the famous "the winner takes all". Proof of that is what happened after that. Where is Twagiramungu?? Where are all his Hutu opponents?? How many attempts on his opponents in the diaspora have gone futile?? Todate, yes - todate, Rwanda is still devided on tribal lines and Kagame wants the world to symphasize with his side of the house.

I dont think Kikwete said anything ugly but truth be told here!! Tanzania being a player in the Congo - giving a public statement like that was unfortunate. He should have known better, as an experienced diplomat. Tanzanian troops are fighting M23 in the Congo (enemy of my friend is my enemy). M23 is supported by Rwanda. If Kikwete had wanted to be a peacemaker or mediator, he should not have sent troops. If anyone wants to be a mediating party, they dont take any side!!!!

Kagame statements are so un-deplomatic and are poking Kikwete's eye!! This goes to show how low he thinks of Kikwete and this could have started some days back when he made statements about how he would turn Tanzania to a super-state if he were her president.

Je huu ndio mtazamo wa marais wengine kwa rais wetu?? Angetaka kukwepa hizi lawama, angeongea on the sidelines na Kagame na players wengine.
 
MiTanzania tulivyo mipumbavu tumeishia kupiga longolongo na kujifanya GANGWE kwa Rwanda kanchi kadogo kama Wilaya ya Rungwe wakati kuna bonge la ujumbe kwenye speech ya Kagame ambao tunatakiwa kuufuata. Kwangu mimi hapo kwenye RED ndio ninapompendea Kagame, ana uwezo wa kuthubutu, Kikwete yeye anazunguka dunia kutembeza bakuli la UMATONYA. Come on DR Kikwete, lets go to our mountains and grow our potatoes, these wazungu friends of yours are all BULSHITS...

Sio mahali pake, rudi kwenye Mada. Nchi yetu ni bora kuliko chuki zetu kwa chama tawala. Wengi hatuipendi CCM lakini linapokuja swala la kudhalilishaw bila sababu it is better kukaa kimya kuliko kuungana na vibaraka kubomoa nchi yako....Hiki ndicho kipimo cha uzalendo wetu. Hujamwelewa anafikiri kurudi kulima viazi baada ya shamba la bibi kule DRC kuvamiwa na JWTZ na hapa anatafuta pa kupumulia tu.
 
Nadiriki kufikiri kuwa watu hasa waandishi wa habari wanaongeza chumvi kwenye hili suala. Pili, kila mtu (pamoja na hawa Rais wawili) wana haki ya kutoa mawazo yao. Tofauti iliyopo kwa Rais, lazima kuzingatia atakachokisema ikiwa in ndani ya nchi au nje.
Rais Kikwete hakutakiwa kuzungumzia suala la Rwanda wakati ni Kati ya watu walioshiriki katika kuisaidia Rwanda. Alitakiwa kutumia njia nyingine za kidiplomasia kabla ya kulizungumza. Kutokana na hali hii, Rais Kagame naye amepewa na mwenzake fursa ya kulizungumza hadharani Kama alivyofanya Rais Kikwete. "Kwa hiyo, ngoma ni droo"!
 
Sio mahali pake, rudi kwenye Mada. Nchi yetu ni bora kuliko chuki zetu kwa chama tawala. Wengi hatuipendi CCM lakini linapokuja swala la kudhalilishaw bila sababu it is better kukaa kimya kuliko kuungana na vibaraka kubomoa nchi yako....Hiki ndicho kipimo cha uzalendo wetu. Hujamwelewa anafikiri kurudi kulima viazi baada ya shamba la bibi kule DRC kuvamiwa na JWTZ na hapa anatafuta pa kupumulia tu.
Rwanda ni KANCHI kadogo sana kutunishiana misuli na Tanzania, mimi siwezi kuingia huko kwenye mada kwa kuwa Rais wetu aliingia kwa kuwa hajui vizuri diplomasia, aliingia kichwa kichwa. Dharau hii toka kwa wanyarwanda tumejitakia wenyewe kwa kushindwa kujitegemea. Dunia nzima wanavyoona rais wetu anazunguka dunia nzima kutembeza bakuli wanajua kuwa hana chakula cha kulisha wanaye. Mkuu vita siku hizi is all about economy, kama nchi inakopa hadi hela za kulipa mishahara wafanyakazi wake unajidharaulisha na majirani ndio maana Kagame ameamua kujipima na GHOLIATH baada ya kumuona Gholiath kadhoofika...

Wenzetu wamekuwa wakijiimarisha kijeshi for years, ingawa Rwanda bado haiwezi kusimama na sisi na ni kanchi kadogo, lakini sisi tulikuwa tumelala hatuna fedha na tumeitelekeza bajeti ya wizara ya ulinzi. Angalau mwaka huu wizara ya Ulinzi imepata bajeti ya kutia moyo. Uganda na Kenya wamekuwa wakiimarisha majeshi in recent years. Museveni amenunua hadi F16 Fighter jets sisi bado tunategemea vile MiG 21 na Antonov 29 fighter jets, ndio maana wanatudharau. Hata kama Baba mwenye nyumba una KITAMBI, kama watoto wako wanalala na njaa majirani lazima watakudharau tu, ndio maana Kagame anatudharau, na dawa sio kumpiga risasi, dawa ni kuimarisha uchumi na kuacha kutembeza bakuli tu.
 
mmarekani anaongea na Taliban ili wayamalize itakua hao jamaa wapinzani wa kagame? Kagame anapenda shari sana huyo jamaa. We are going to kick his a$$ one day soon.

Najiuliza, kwa mwendo huu hii jumuiya tunayotaka tena iwe na sarafu moja, huko mbele kuna mwanga kweli? Maana tukianza kutunishiana misuli (rais akiongea ni taifa limeongea) tutafika??? Kwa maoni ya wengi wanaonyesha Kagame ni dictator, sasa kama tuliamua ma-dikteta wawe sehemu ya EAC kwanini tunamlaumu sasa?? Kama na M7 ndiye walewale, utangamano wa EAC utatoka wapi?
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom