Ni kweli kuwa Wanyarwanda wamejenga nchi yao baada ya yale mauaji. Nchi nyingi zimepitia magumu kama hayo. tatizo la mafanikio ni kutoona nje ya wigo Naamini Rwanda wanatumia rasilimali zao nyingi kuzuia eventality ya FDLR kwani ni tishio halali kwa stawi wao. Je tunaweza kujifunza ktoka kwenye historia jibu si rahisi la sivyo amani ingetawala duniani. Swala la kuzungumza au la inategemea na nguvu ya adui yako. Inaelekea kwa sasa bado FDLR ina nguvu hivyo, kijeshi, si muda muafaka kuzngumza nao. ili iweje. Kiwete kama 'mwanajeshi' wa kweli angezungumza pembeni. Kwa upande mwingine labda Museveni alijua hilo kama mwenyekiti angetakiwa aseme maneno hayo. Kuepusha soo akachelewa na Vasco kupewa kiti akamwaga mboga na ugali. Kagame ajue aliyekuwa aseme hayo ni rafiki yake Museveni lakini kwa kutotaka ugomvi naye akampisha Kikwete !!!!!!! Viti vingine vya moto. it was a hot potatoe issue among the presidents who are supposed to say "the buck ends hier". Shame on themHatuhitaji kupigana na mtu kama Kagame, msisahau huyu bwana kajenga ile nchi kwa muda sasa paka imekua ya kupigiwa mfano, kwenye nyaja za elimu, Mazingira, uchumi na kilimo,anastahili pongezi na ushauri badala ya kumpiga, yeye ni mzalendo japo wengi wa viongoz wetu wana shida ya wizi na uchakachuaji...mimi namfagilia sana...