President Paul Kagame responds to Jakaya Kikwete on FDRL comments 'utter nonsense'

Hakuna cha ushauri, wakati tumeshindwa kukaa na wanaMtwara meza moja kutatua tatizo la Gass. Viva Kagame

Akili yako inafikiri kinyume nyume! Huwezi acha kumlinda baba yako anapo shambuliwa na wakola kisa eti hajakupeni watoto wake mkate na siagi asubuhi!
Kwa hili niko na Raisi wangu Kikwete, nitaisapoti approach yake kwa mgogoro huo wa Rwanda!
 
Assist me here fellaz....why did we send our troops to rid M23 and not use these mighty reconcilliatory 'tekniksi' ?

Option B ya kutuma military ilitumika baada ya M23 kuikataa option A ya kukaa mezani na kufanya mazungumzo!
 

Attachments

  • Don't give up.jpg
    Don't give up.jpg
    120.2 KB · Views: 251
Kagame naona anasahau historia kwamba sisi we dictate the great lake region tunaweza mweka madarakani yeyote tumtakae asisahau tulicho fanya kongo,uganda etc

Ilikuwa enzi za mwimu hizo! Sio za hawa mburura! Aliyakiwa aongee na kagame kwanza peke yake ndio akili ajaribu kumshawishi! Hata wasuluhishi wote ndivyo wafanyavyo! Sio unaropoka tu!
 
Mimi nimependa Kagame alivyojibu: "I kept quiet for the contempt I have for it (FDLR talks) because I thought it was utter nonsense spoken out of ignorance . We must be left to live our lives the way Rwandans want to live them," observed a visibly incensed Kagame. Kagame described Kikwete's counsel as, "dancing on the mass graves of our people."

Nikuhakikishie tu kuwa Kagame sasa anatapatapa.........kikosi alichokizoea cha MONUSC kilichokuwa kikimbia pindi kikiona waasi sasa kina wajanja....! Alizoea enzi hizo toka kwa UNAMIR and then MONUSC, sasa hayo hayapo tena....! JWTZ iko pale kwanza kufanya ile proxy force yake M23 redundant......kukata mirija ya wizi wa mali ya Congo, and then kichapo
 
Kagame anachotaka ni kukuza mgogoro.

Unapoona mtu hataki usuluhishi katika mgogoro basi ujue kuna jinsi ananufaika na mgogoro huo. Kwa kuwa muaminifu; Kikwete alitumia approach ya busara kabisa, ya kidiplomasia, ya kiungwana na inayokubalika ulimwenguni katika suala zima la usuluhishi wa migogoro.

Rais Kikwete alishauri kama Jirani, Kama mwanachama Wa Jumuiya ya Africa Mashariki, na kama muafrika anayetaka Afrika iwe salama. Kadhalika; hakulazimishia kwamba ni lazma watu wafuate ushauri wake. Anachokuja nacho Kagame sasa ni "ntimanyongo".
 
Nina uhakika sasa hivi kuna mpambano wa siri wa Kijasusi!
Ukiona Tz ipo kimya kazi inaendelea!
RIP Mobutu!!
 
Nikuhakikishie tu kuwa Kagame sasa anatapatapa.........kikosi alichokizoea cha MONUSC kilichokuwa kikimbia pindi kikiona waasi sasa kina wajanja....! Alizoea enzi hizo toka kwa UNAMIR and then MONUSC, sasa hayo hayapo tena....! JWTZ iko pale kwanza kufanya ile proxy force yake M23 redundant......kukata mirija ya wizi wa mali ya Congo, and then kichapo

JWTZ huwa hawapigi kelele! Kazi inaendelea kimya kimya!
 
Kagame amelipuka zaidi anapofikiria Tanzania ni sehemu ya waliopeleka intervention Brigade.Tuunge Mkono JWTZ,ma-expansionist kama Kagame na Museveni ni hatari kwa stability na long lasting peace hapa ukanda wa maziwa makuu.

The muderous Dictator will not take this lightly. Kagame anatumia msamiati wa genocide kutafuta sympathy na kutaka watu wake wa-rally Behind huku ikijulikana kama alivyotoa ushahidi Jenerali Kayumba Nyamwasa kwamba yeye ndiye aliyeamuru ndege iliyowabeba marais wa Rwanda na Burundi itunguliwe na genocide ikaanza. Pia alitoa ushuhuda mahakamani huko SA kwamba Kagame ndiye aiyeamuru na kutekeleza mauaji ya Laurent Desire Kabila.

The bloody thirsty dictator is paranoid!
 
kama umeifuatilia vizuri hist ya rwanda hutaweza kupingana na kageme yupo sahihi kabisa ntarahamwe ni kundi lakigaidi kikwete pitia tena histo ndio unene mahakama za gacaca nitofauti na hawa ntarahamwe
 
Its well known that Kagame was part of the gangsters who shot Habyarimana's plane, leading to the mass killings in Rwanda. Some investigative reports show that Kagame, being supported by Uganda which offered the missiles that were used for shooting down the Habyarimana's plane, went into a hide immediately after the bombing; where, with the help of Museveni he organized an armed force that went back to Rwanda as a mediating army being lead by the Ugandan brigade.

Kagame's grief over FDLR, is more on the fear of the revenge. He understand very well that, after the Tutsi under Kagame, had killed Habyarimana, the Hutu's revenge was to kill the Tutsi (cockroaches) wherever they were. It is said that when RPF (Kagame's party) conquered Rwanda by the end of 1994 with the help of Uganda, the majority of the Hutu (over 2000000) ran away from the country. Majority of them going to Zaire, where they formed an armed force to fight back the RPF. So in-fact there is no history which shows that, the FDLRs were the solely organizers of the mass killings as claimed by Kagame and his followers, but they are the most unwanted because they are fighting against the Tutsi party, Kagame's party (the RPF). Before Kagame can stand up and point fingers to Kikwete he should rethink of his acts since the first attack to Rwanda in 1990 and later on in 1994 when they killed Habyarimana? Couldn't it be the killings of Habyarimana there wasn't going to be a genocide in Rwanda because Habyarimana had already accepted and signed for a coalition government.

By the way who are all these people who are making so much noise over Kikwete's advice. Its no wonder that they are all Tutsi, its no wonder that their grief over Hutu is ongoing. Why are they so alarmed by Kikwete's comment; a very normal comment, which one can decide to accept or decline? I believe there is something underneath that is perpetuating these noises among the Rwandans - tribalism, is still on hold - I guess. Their problem is not what Kikwete said, but is on the consequence of the talk with the FDLRs.

you are right,definitely right
 
Kagame anachotaka ni kukuza mgogoro.

Unapoona mtu hataki usuluhishi katika mgogoro basi ujue kuna jinsi ananufaika na mgogoro huo. Kwa kuwa muaminifu; Kikwete alitumia approach ya busara kabisa, ya kidiplomasia, ya kiungwana na inayokubalika ulimwenguni katika suala zima la usuluhishi wa migogoro.

Rais Kikwete alishauri kama Jirani, Kama mwanachama Wa Jumuiya ya Africa Mashariki, na kama muafrika anayetaka Afrika iwe salama. Kadhalika; hakulazimishia kwamba ni lazma watu wafuate ushauri wake. Anachokuja nacho Kagame sasa ni "ntimanyongo".

Msimamo na kauli ya Rais Kikwete ni hoja ya kuungwa mkono.Hakuna ku-apologize!

Anadhani Tanzania itaburuzwa kama anavyowaburuza wananchi wake .Amepika mashtaka ya kisiasa dhidi ya Victoria Ingabire aliyekua mpinzani wake kisiasa na sasa amefungwa jela,Jenerali Kayumba Nyamwasa ali-survive asssassination attempt kule South Africa kwa sababu tu jamaa anamuhofia kuwa anajua siri zake na jinsi alivyohusika kwenye genocide maana alikua mkuu wa Usalama baada ya RPF kuingia madarakani.Alikua Chief of Staff na anajua michezo ya Kagame dhidi ya wanasiasa waliokua serikali na tishio kwake


Kwa mfano Magazeti ya Rwanda yanalazimika kumpamba huyu Dikteta asiye na tofauti na Hitler linapokuja suala la Ubaguzi.Ni dikteta aliyechanganya mbinu za kizamani na za kisasa.Ndiyo maana jumuiya ya Afrika Mashariki itakumbana na Changamoto nyingi sana,bora Museveni ambaye anaona aibu kidogo kwenye EAC affairs
 
Kagame, huo ni ushauri uliotolewa na Raisi wa Tanzania. Leave it or take it! Ni uamuzi wako as the current of President of Rwanda. Nina uhakika, Mnyarwanda yoyote atakaekurithi kama Raisi wa Rwanda hataupuuza huo ushauri wa Mzee wetu SINBAD!

Hahaha SINBAD raia wa Baghdad!
 
Jenerali Kayumba Nyamwasa ali-survive asssassination attempt kule South Africa kwa sababu tu jamaa anamuhofia kuwa anajua siri zake na jinsi alivyohusika kwenye genocide
tehe! tehe! tehe! nakumbuka jinsi Kagame alivyokuwa anahaha baada ya Nyamwasa kutoroka ubalozini India.Akawa anaeneza uvumi kuwa atakuwa keshaingia Rwanda kwa ajili ya Kupindua nchi.Ikawa ndio habari ya mjini hata watu wakawa wanaulizana "Ni nani huyu Nyamwasa Kayumba!" Kumbe Kagame alikuwa na siri; Tena siri nzito mno.
 
With all due respect, i congratulate and stand firmly beside my president JK. Kagame is tyrant, blood sucker and murderer mkubwa huko Congo DRC. Hii hofu inatoka wapi, upi uhusiano kati ya 1994 genocide na kinachoendelea Congo DRC kwa sasa? Kwa hili watanzania tunapaswa kuungana kwa pamoja kumuunga mkono rais, tumetaabika sana na hii instability katka great region, leo hii bado tunashuhudia uhuni na unyama wa gangs wanaopata siraha haramu toka mikononi mwa hawa wahuni, they are butchering our people in our own country, refugees influx karibu kila mwaka ukiunganishwa na uharibifu wa mazingira na miundo mbinu mingine. Its time for these two gangsters Kagame and Museven to learn and face the same grief common people have been suffering fo so long.
go go go JWTZ, go go go JK, go go go Tanzanians we ae able and we can fight to death and win any military agression that may comes our way, we have great history in the region and africa in particular. God bless and protect our military, God bless Tanzania and God bless Africa.
 
Back
Top Bottom