Nyani,
Mambo ya kulazimishana ni udikteta, sio demokrasia. Kwa nini unilazimishe kitu kama sikitaki? Hebu anzeni mbele huko....ebo!
Hapa katika jimbo langu nalazimishwa kisheria kuwa na bima ya gari. Nisipokuwa na bima natozwa faini ya dola saba kwa siku. Hiyo nayo ni demokrasia. Uzuri wa kuwa na bima ya afya ni kwamba kama utaugua basi you are taken care of. Lakini kama huna bima na ukaugua and you have to be hospitalized, local government au someone, inawajibika kulipia gharama zako. Now which is better?