President Obama anavyokuwa mfano wa familia

Waafrica tunabaki tukiwaza jinsi ya kufanya wizi warasilimali zetu wenyewe badala ya kukaa na familia zetu

Wakati waoto wanakunywa chai isiyo na sukari kwa kitumbua, baba anakunywa supu ya makongoro ya kitimoto.
 
Huyu jamaa ni smart mwanzo mwisho!! He is really doing what he was saying during his campain, from family level to country level.
Sioni cha ajabu kwenye hiyo picha unless background yako kifamilia ndio inakufanya uwe na super low expectations za baba huwa anakwenda wapi baada ya kazi.

More substantively though, it is quite a stretch to say that Obama has lived up to his campaign promises. Ameshindwa agenda kubwa za sera. Kafeli ku reform healthcare na ku overhaul immigration. Kashindwa kuhuisha uchumi, pengo la bajeti limezidi kukua wakati deni la nchi linaelekea kuwapasua, na Bungeni nako hakuna anachofanikiwa kupitisha.

Huku kwingine duniani ameshindwa kuleta "change and hope" aliyohubiri wakati wa kampeni.

Mifarakano yake na Iran imepeleka bei ya mafuta juu mawinguni. Ameshindwa kufanya lolote kwenye mtafaruku wa Palestina na Israel na sasa Jewish State of Israel wanajenga makazi Mashariki ya Jerusalem wakati Obama aliahidi Taifa la Palestina litakuja ndani ya miaka miwili ya kuapishwa. Ahadi ya kuzuia nuclear proliferation nayo kwa sasa kimya kimya imegeuka a stalled agenda.

Misri ndio ilikuwa mchemko wake mkubwa kuliko yote wakati wa Kiangazi cha Waarab. Alionyesha unafiki kwa kujifanya kumtosa dikteka Hosni Mubaraka dakika ya mwisho alipoona kaisha wakati wamekuwa mshirika mwandani wao miaka enda rudi, eti sasa dikteka wakati bado wanakumbatia madikteta wengi kama Saudi Arabia na Bahrain.

Amesindwa kutimiza ahadi ya kufunga kambi ya mateso ya Guantanamo Bay, na hajaweza ku revamp the Cuban policy inayowasiganisha nao nusu karne sasa. Wanajeshi chini ya uamiri jeshi wa Obama nao hawashikiki, wamesababisha maandamo ya kumpinga kwenye mtaa wa Waarab, wamechoma misahafu ya Kuran, wengine wamekojolea maiti za wapiganaji wa Taliban, na mwingine kachukua libunduki kaenda shuti watu 17. Bila kutaja US Drones zinazoranda kwenye anga za sovereignty za wengine na kuua raia kila uchwao.

So much for promises of "change and hope."

Halafu kuna hili la msafara wa Rais unaposafiri nje unaacha sifa ya kutapanya ngono na malaya mtaani. Bado nini tena ndio tuseme kashindwa, mpaka tusikie yeye mwenyewe kafanya ya ajabu kwenye makochi ya Oval Office? Kwenye hotuba ya ushindi aliongelea
"a new dawn of American leadership is at hand." Ndo hii?
 
Wengi watu sisi wanaume wa ki-bongo = Supu asbh kwa mrombooo- job- mchana nyama choma/kitimoto- jioni bar-kuangalia Mpira mpaka saa 6 usk then home. asbh ratiba hivyohivyo, familia may be siku huna hela.

Man, right on the point! Mbongo siku mfuko wake umetoboka ndipo utamuona mnyonge nyumbani na kila muda anaenda kujisaidia chooni na simu ili amtumie nyumba ndogo SMS. Ahhh kweli bongo tambarare.
 
1st lady utafikiri ametoka Kimanzichana.

Tuache utani, Mama Salma is waaaay beautiful than Michelle Obama. Michelle Obama is a reject kwa wamarekani weusi na kawaida wanawake kama yeye for some crazy reason wanakuwa attracted na wa Afrika. First lady aliyekuwa anatisha Bongo bila pingamizi ni Mama Mkapa. Yaani sijui Mkapa aliona nini pale!
 
Huyu jamaa ni smart mwanzo mwisho!! He is really doing what he was saying during his campain, from family level to country level.
Sioni cha ajabu kwenye hiyo picha unless background yako kifamilia ndio inakufanya uwe na super low expectations za baba huwa anakwenda wapi baada ya kazi.

More substantively though, it is quite a stretch to say that Obama has lived up to his campaign promises. Ameshindwa agenda kubwa za sera. Kafeli ku reform healthcare na ku overhaul immigration. Kashindwa kuhuisha uchumi, pengo la bajeti limezidi kukua wakati deni la nchi linaelekea kuwapasua, na Bungeni nako hakuna anachofanikiwa kupitisha.

Huku kwingine duniani ameshindwa kuleta "change and hope" aliyohubiri wakati wa kampeni.

Mifarakano yake na Iran imepeleka bei ya mafuta juu mawinguni. Ameshindwa kufanya lolote kwenye mtafaruku wa Palestina na Israel na sasa Jewish State of Israel wanajenga makazi Mashariki ya Jerusalem wakati Obama aliahidi Taifa la Palestina litakuja ndani ya miaka miwili ya kuapishwa. Ahadi ya kuzuia nuclear proliferation nayo kwa sasa kimya kimya imegeuka a stalled agenda.

Misri ndio ilikuwa mchemko wake mkubwa kuliko yote wakati wa Kiangazi cha Waarab. Alionyesha unafiki kwa kujifanya kumtosa dikteka Hosni Mubaraka dakika ya mwisho alipoona kaisha wakati wamekuwa mshirika mwandani wao miaka enda rudi, eti sasa dikteka wakati bado wanakumbatia madikteta wengi kama Saudi Arabia na Bahrain.

Amesindwa kutimiza ahadi ya kufunga kambi ya mateso ya Guantanamo Bay, na hajaweza ku revamp the Cuban policy inayowasiganisha nao nusu karne sasa. Wanajeshi chini ya uamiri jeshi wa Obama nao hawashikiki, wamesababisha maandamo ya kumpinga kwenye mtaa wa Waarab, wamechoma misahafu ya Kuran, wengine wamekojolea maiti za wapiganaji wa Taliban, na mwingine kachukua libunduki kaenda shuti watu 17. Bila kutaja US Drones zinazoranda kwenye anga za sovereignty za wengine na kuua raia kila uchwao.

So much for promises of "change and hope."

Halafu kuna hili la msafara wa Rais unaposafiri nje unaacha sifa ya kutapanya ngono na malaya mtaani. Bado nini tena ndio tuseme kashindwa, mpaka tusikie yeye mwenyewe kafanya ya ajabu kwenye makochi ya Oval Office? Kwenye hotuba ya ushindi aliongelea
"a new dawn of American leadership is at hand." Ndo hii?

Bwana umeongea point. Ninawambia wenzangu mara kibao juu ya hili ila nimegundua kitu kimoja. Tanzania watu huwa wanakurupuka tu kusifia kitu japo hawajui. Bongo watu wanaona ujiko Obama kuwa rais wa Marekani hawajui huko nyuma alikuwaje na hawajui anaishije na mkewe. CNN inapatikana Tanzania na najuwa watu wanaona wamarekani wanavyompigia kelele Obama kila kukicha jinsi nchi inavyomshinda, yet hili hawalioni, why?
 
Huyu wetu hata akisema akae na famili hao watoto walivyo wengi watatosha kwenye hizo sofa!! Itakuwa vurugu kugombea remoti..huyu anataka komedi mama anakata tbc one kipindi cha taarabu mzee mwenyewe anataka kipindi cha je tutafika?? Hahaaaa
 
hii picha ni ya zamani...siku hiyo kulikuwa na fainali za kombe la dunia la wanawake kati ya marekani na brazil..usiku wake mzee akawa anaangalia soka hiyo...... na chaula hicho siku hiyo aliandaa michelle mwenyewe
 
Back
Top Bottom